Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Nilichokiona cha maana ulichotaka kutwambia juu ya mswaki toka UK. Nanaimani kuwa kama ungekuwa umeunumua tz usingeanzisha thread.

Hivi bei mbaya ndio shs ngapi jamani!?Ma WISDOM yamejaa hapa mujini wewe mpaka uagize UK, mbona anaturudisha nyuma enzi za mwalimu raba mtoni na jeans za Lee mpaka watu waende Ulaya huyu..
 

Kweli umechanganua kaka.....
 
Unaua chanzo cha fahamu ndo unazama kunako dah!!
 
Acha ushamba ndugu yangu,huyo ni mpnz wako na isitoshe mnaaminiana,mnapeana denda ije kuwa mswaki?hakuna madhara yoyote bro.wasi wasi wako2 ilimradi wote muwe wasafi na waaminifu!
 

Mie mbado kufika huko.....Nitafanya yote ila hili la kushare mswaki ni big NO, je kama anatoa damu kwa fizi....maambukizi si ni probability kubwa!! sana
 
Dawa ya mswaki ina chemical inaitwa sodium Monofluorophosphate ambayo inaua bacteria so no harm sharing.
 
mimi na mpenzi wangu tunashare mswaki... kwangu sioni tatizo kabisa
 
kuchangia thread hii ni uwendawazimu, mleta mada kutuambia mswaki wake aliagiza toka u.k. ni mpumbavu, aingii akilkni kwa mtu mwenye akili. uwehu huo kuijadili post hii..........
 
mapenzi hayana uchafu ile kitu hakielezeki jamani.utaukataa uchafu wa mswaki kwa kuambukiza magojwa wakati kila step before tendo ni hatari kuliko tunavodhania
 
Du hiyo kali tena, hata iweje siwezi, nitatumia hata vidole kusafisha kinywa...lakini na wewe huyo demu mshamba asiyejua mtu ni afya umemuokota wapi?

mnapolala naye ,fyonzana ndimi hujui mtu ni Afya ,huyo ni mpenzi wako usi muonee kinyaa acha hiyo
 
mimi nilishasau mswaki wangu ni upi make mimi na mke wangu hatuchagui! Tatizo nini hapa kila siku unamla denda mke wako unazama chumvini halafu mnaleta vinyaa kwa danganya toto hapa!
 
Je! Unaweza kushare mswaki na mpenzi wako jibu langu:Japoo denda nakula mswaki hapana
Sijui nyie wenzangu.
 
Kushare mswaki? Ili iweje sasa? mswaki 300 tu, halafu tutumie mmoja, hata kama umaskini hii no! mswaki una zama ndani ya meno na kutoa hadi vyakula ya mwaka juzi. Hiyo ni BIG NO.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…