Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Watu wanapenda sifa kweli...hivi kuna mtu anafanya sex siku hizi bila denda au kushika mic au kwenda mgodini??? Nani huyo.....???

Sasa mswaki kitu gani...???

To be frank, me and my wife no one knows his/her toothbrush...we share each and everything...kama unaingia chumvini na mnabadilishana mate, kipi kipya kwenye mswaki??? Mleta mada alitaka tu kutuambia kuwa huo mswaki alinunua UK.
 
kuna tofauti kubwa sana. chumvini hakuna bacteria kama mdomoni. vyakula vinavyochacha mdomoni, vyote vina form bacteria. chumvini kunaweza hata kusiwe na bacteria. uchemshe kama ulivyoambiwa au tupa. tena mpenzi, wala si mke! kesho akija mwingine nae anatumia. hebu mwambie huyo binti akue na aache uchafu. Kesho mnunulie wa kwake ukae hapo kabisa. mabusu ni mabusu na mswali ni mswali jamani. ukipiga mswaki unachokonoa kona zote, mpaka vyakula vyote vitoke lakini busu hufanyi hivyo.

unaogopa nini wakati hata chumvini unafika? tofauti iko wapi?
 
kama unajua mpenzi wako anapenda sana chumvini jiweke msafi kabla ya shughuli, jisafi vizuri, ikibidi tia kidole kinuse kama hali iko shwari. kama unajua hujajisafi iweje umruhusu mwenzio aende mitaa hiyo kama sio kujiaibisha mwenyewe, kesho penzi likiisha akutangaze.

basi NN usiendelee zaidi usije ukasababisha dada zako tukanyimwa baadhi ya huduma
Maana kwa huu ufafanuz ningekua jibaba sijui kama ningezama tena chumvini.
 
kama mpenzi wako unamuamini kwa usafi huwezi kufikiria yote haya. mwanamke msafi na anayemthamini mpenzi wake au mumewe, hawezi kumruhusu aende chumvini kama anahisi tarehe zake zimekaribia. hata kama tarehe haziko stable, ila kuna dalili ambazo lazima uzihisi.
kushare mswaki hapana kwa kweli. no matter how much you love each other.

Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and cup".
 
Hahahaaaaaaa uwiiiiii nafwaaaa.....aah NN mi staki bwanaaaa:puke:
 
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki
akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.
Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?
Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)

Thread yako imekaa kaa ki-sharobaro. Eti toothbrush toka Uk! Kwanini na ile 'the soft center' usiagize toka Uk?
 
mimi na mke wangu tunashare kila kitu!hata kuumwa tunaumwa pamoja!leo wote tuna vikohozi!kanisani tuliunganishwa kuwa mwili mmoja!
 
Hapa mara naelewa, mara sielewi.

Hiyo movie ambayo NN inakutisha, mie ndo natamani kuiona, huwa na tatizo la kutaka kujaribu nilichokatazwa.

Hayo ya mswaki, duh, no kabisa ni sawa tu na hayo mapenzi ya kisasa ya kutemeana na kuumana bila sababu.
 
Nyani umekuwa Doctor siku hizi??

Na vipi kuhusu kuzamia chumvini???

jamaa alizama chumvini baada ya kutoka akawa anajichokonoa na kijiti. mpenzi wake kamwambia "naona leo umekula nyama", jamaa akajibu "hapana nachokonoa vuz lilonasa kwenye meno".
 
ila bofolo mzushi huyu jamaa!eti mswaki wa bei mbaya!mswaki wa bei mbaya ndio sh ngapi?

Ni Boflo.....Na si bofolo

Bei yake ni 50 sterling pounds na ni electric tooth brush......Bei ya hapa Bongo itakuwa sh ngapi?
 
naona hakuna tatizo kama alivyoeleza Nyani Ngabu hapo juu, mimi mwenyewe nimekua na share mswaki na GF wangu mara kadhaa, nikiwa nimemtembelea anaweza akawa amejikuta amesahau kuja na mswaki Hotel/Lodge niliyofikia so hua analazimika kutumia mswaki hata mimi hivyo hivyo anaweza akawa anakuja kunitembelea tunakutana Lodge/Hotel mimi nakua sijabeba Mswaki kwa hiyo najikuta natumia mswaki wake

Mimi ningetumia kidole badala ya mswaki wake....duuh kuna vitu vingine kinyaa bwana! Sijui lakini labda inaweza tokea lakini mmmhhhh
 
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and cup".
mkuu hapo red hapana kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom