Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 6,843
- 12,612
Hili andiko Lina ukweli asilimia 💯Unauhakika na usemacho kijana?sasa ni kuambie ndugu zako wa kweli ni wanao tu!!na Mama yako mzazi akiwa bado upo hai!!wadogo zako au kaka au dada wajali kiasi tu LAKINI don't count too much on them!!wanamajukumu na familia zao ndio kipaumbele chao sio wewe!!!Nakuambia with personal experience not with words!!hapa kwangu nimeishi na ndugu wawili kutoka familia yetu na familia ya mke wangu nimeona ni Total mess!!!nasaidia kiasi LAKINI siwekezi nguvu zangu nyingi kwao Sana najali Mama Sana wao watapambana coz sio walemavu na wala sio vichaa!!!Huwa na waambia hakuna cha bure wala cha kupewa mtaji ni afya zao tu wachape kazi!!labda wanafunzi kidogo ndio nawajali kwao matumizi tena madogo ya muhimu tu na hivyo sitarajii makubwa wala fadhila Toka kwao!!!Nimesaidia moja juzi ananitishia Maisha na familia yangu kisa nimemwmbia aende kwake familia yake inamuhitaji yeye anataka akaye kwangu abweteke anachojua ni mitungi na mikasi!!!MISAADA inapumbaza waafrika badala ya kuwasaidia ipo siku utalea watoto wa ndugu zako kisa hawawajibiki ipasavyo!!!!with personal experience not by hate or illusions!!!