katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
- #201
Yupo
Yupo
🤣🤣🤣
Sky Eclat ndio wewe na hamu yakukuona na miss natafuta Madam S na wengine Majina yanitoka nasitaki kuandika tofauti.Ridhika na bombardier usilete Dreamliner basi
Mtu wako wa siri unaetaka kumuona nahisi ninamjua sasaNiwewe toxic9 nasintokubali utangangaze nia kwa jr mshana sintoenda wala.
Nakuja pm kieleweke.
Jifanye tu jifanye nikikasirika napiga simu moja nadhani utazimia .
Usikasirike basi, maana hasira zako ni ngumu kuzimalizaJifanye tu jifanye nikikasirika napiga simu moja nadhani utazimia .
🙏🏾Sky Eclat ndio wewe na hamu yakukuona na miss natafuta Madam S na wengine Majina yanitoka nasitaki kuandika tofauti.
Mimi ni msichana but hao kwa wanawake i wish niwaone tu walivyo.
Natamani nionane na sesten zakazakaWadau wa jf wazima??
Unavutiwaga nanani humu mpaka unahamu ukuyane naye tu kimakosa barabarani au safarini au sehemu za burudani
Njoo mwaya usiogope[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amiiin
Karibu makao mapya Dodoma mkuu.
Pm yangu nijibu pleaseKaribu makao mapya Dodoma mkuu.
Tupo tunakimbizana na wajeda tu huku
🤣🤣🤣🤣🤣Njoo mwaya usiogope
Jr[emoji769]
true true👌👌👌👌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu sana dodoma mkuu tukikutana tu tunaenda kuvuta Chura mbili chap za kujipongeza
Sent using Jamii Forums mobile app