Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

Kama kawaida mi ntakuwa nachoma mahindi kwa ajili yako. Ila mbona hujapokea shukrani zangu za kukubali ombi langu?
Shukrani nitazipokea na kuzionesha kimwili tukikutana 😁

😂😂 wewe ndio unanichomesha mahindi mana tangu mwaka juzi unanizungusha tu hutaki kuniona

Seriously natamani kukuona..najua utakuwa mkubwa sanaaaa kwangu ila nataka nimuone mzee/babu(kama wanavyokuita wakongwe wa JF) mwenye maneno mengi kiasi hiki
 
Hahahah haya mama ...karibu Bunju huku shambani. Ila ujiandae kunisaidia kupalilia matikiti na pilipili hoho.

Nami kiukweli kabisa nitafurahi sana kukuona msoma makala mwenzangu. Ofkozi mi ni babu... Jumatatu ijayo natimiza miaka 72. Utanianzishia thread ya happy birthday?
 
Asante sana nitakaribia...

Miaka 72??!!! Si mchezo...kama ni kweli hongera sana aseee

Tatizo wanawake huwa tuna wivu hata kwa tulioachana nao ila kama Sky Eclat atakua hana kinyongo na mie basi itakua my pleasure kuanzisha uzi 😊
 
Back
Top Bottom