ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,905
- 42,074
Ahaaa, sawa mpaka mswaki , namaanisha mpaka morning
Kuna mwenzako anateseka na uzi kaanzisha kisa kapata demu jini anateseka hatari sasa mkuu wewe ombea tuMi sitak kukutana na binadamu nataka nikutane na jini wakike mzuri wa kiarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa, sawa mpaka mswaki , namaanisha mpaka morning
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtaonana wabayaStimu Nzuri Ni Pale Unapotamani Ukutane Nae Afu Ni Mkeo Au Mumeo Na Mnaishi Pamoja
Kila la kheri, mpe hi Hajar
Tuonane basi......kama upo ulipo?
Wewe mbona hutoi feedbak umekutana na naniKuna walioonana nini ?
Mtujuze
mekumiss upo wewe mtu😍Tuonane basi......kama upo ulipo?