karibu sana ndugu yangu. karibu.
Usijali handsome kama upo jiji la bashite tutaonana tu jamani
Nilipotea tu njia kipenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda wapi my [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au kaka yako au ni dada yako pia mpo house moja.Unaeza kukuta unaetamani kukutana nae uko nae kitaa kila siku
Ndio tupo wengi mremboKuna walioonana nini ?
Mtujuze
Ha ha ha funguka mzeeWapo kama 3 hivi. Kila comments zao naangalia avatars zao.
Yaani basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje??Ndio tupo wengi mrembo
Ha ha ha funguka mzee
Mlete sister langu, nimewamiss pia sana tungoja nikuletee hajar Mlima simba tumekumis
Mlete sister langu, nimewamiss pia sana tu
Sawa, mpaka sasa hujalala sister