Nokia83, Evelyn saltWadau wa jf wazima??
Unavutiwaga nanani humu mpaka unahamu ukuyane naye tu kimakosa barabarani au safarini au sehemu za burudani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu ukionekana unapenda kumuona musichana au mudada mwenzio watu wanakuuliza wewe ni ke au me mimi ni me
Wadau wa jf wazima??
Unavutiwaga nanani humu mpaka unahamu ukutane naye tu kimakosa barabarani au safarini au sehemu za burudani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stimu Nzuri Ni Pale Unapotamani Ukutane Nae Afu Ni Mkeo Au Mumeo Na Mnaishi Pamoja
Karibu sana mkuu
Teh teh teh...Nimesoma comments zote hadi hapa, lakini sijaona mwenye amenitaja hata...[emoji17] [emoji17]
Nikweli mheshimiwa mjumbe, sasa inanibidi nianze kudanganya kwamba naishi Dar[emoji13] [emoji13] [emoji13]Teh teh teh...
Mh mjumbe wewe huko ushirombo hata usafiri wa Punda haupatikani, unadhani watu watafikaje huko.....
Ndio maana hujatajwa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini uwe makini tusije tukaharibiana mh mjumbe, maana ushindani utakuwa mkubwaNikweli mheshimiwa mjumbe, sasa inanibidi nianze kudanganya kwamba naishi Dar[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hivi wewe jamaa Kwanini hua unalike kila comment? [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]