Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

Unataka nani wa JF mkutane hata njiani

Niko mbali sana lakini siku nikitia timu bongo nitaomba sana sana nikutane na watu wa hekima nyingi na wanaoona mbali Broo Mshana Jr na Broo yangu GuDume , nadhani siku hio tunaweza ongea mpaka asubuhi.
 
Lakini uwe makini tusije tukaharibiana mh mjumbe, maana ushindani utakuwa mkubwa
Nikweli mheshimiwa mjumbe, kushindana na wanaume wa Dar inahitaji moyo mgumu hata shetani akasome...tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
Nikweli mheshimiwa mjumbe, kushindana na wanaume wa Dar inahitaji moyo mgumu hata shetani akasome...tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wadau wa jf wazima??
Unavutiwaga nanani humu mpaka unahamu ukutane naye tu kimakosa barabarani au safarini au sehemu za burudani

....................Nani asiyetaka kukutana na KATOTA KAZURI,....................................?

Mwenzetu
 
Kwa kweli kumuona mtu wa huku macho kwa haya macho nadhani nitakuwa tomaso
 
Mnadhani katoto kazuri ni mdogo mimi ni big mama sio kadogo kakukaonea .
Single but sure
 
Back
Top Bottom