Hivi ndivyo nilivyoifahamu JF

Hivi ndivyo nilivyoifahamu JF

Ramtz Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2026
Posts
264
Reaction score
520
Hv ndivyo nilivyojua na kujiunga JF mwaka 2023 Nilipata idea ya ku GOOGLE hadithi vichekesho n.k sasa kila nikigoogle hadithi kwenye google kuna kuja blog mbalimbali ila kila nikisoma hadithi hua zinaishia njiani nikaacha kusoma hadithi tena mwishoni 2023

Nikaamua tena ni google hadithi za kutisha n.k nikaona wananiletea JamiiForums nikawa nasoma hadithi humu lakini mwisho wa hadithi ikiandika itaendelea inaendela halafu mwisho kabisa kuna NEXT ukibonyeza unakuta page ifuatayo hadithi inaendelea NIKAONA WATU wana comment n.k nikajiuliza hv unaweza kujiunga humu?

Mwaka 2024 Nikafosi kujiunga ikakataa mana natumia kitoch hata e-mail sijui ni nini mwaka jana nikafosi ku Register ikakataa mana sijui email wala kutumia mtandao mwaka leo nikajaribu imo japo nilisumbuka sana nilipata furaha sana hapa mtaani ni mm tu naetumia jf wengine hawaijui......!

WEWE ULIIFAHAMU VP?
 
Haya mathread yapo mengi mno JF. Anyways ule moto wa uchaguzi wa 2015 between Jiwe and Lowassa brought me here.
 
Me ilikua 2008 mabishano ya kaka zangu yakafanya niijue JF...
Brother mkubwa alirudi likizo kutoka jeshini alikua anatumia blackberry,Ziko fire kipindi hiko balaa na mwingine anatumia Nokia asha.....
Walikua wanabishana kwamba David bekham ameondoka acozione calcio Milano (AC MILAN), Brother mkubwa akasema tuangalie jamii forums Ile wanaangalia wanakutana na Taarifa ya Ricardo kaka ameondoka Calcio Milano kajiunga Madrid...Toka siku hiyo niliamini hakuna mtandao unaoweza kupata taarifa kwa haraka zaidi ya JF...

2010 Ndio nikafungua account yangu ya Kwanza nikiwa natumia Nokia Gege..
 
Mi ilikua free basic ilinileta huku 2020 ,sikua na bundle alafu ile huduma ilikua inakupa net free .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom