Oooh!!! Nasema hiviii, nakupenda.Auntie nakujua ukiwa na kitu ebu sema tu jamàn
TujueIli?
Mkishajua?Tujue
Duuu, mna picha tofauti sana za wanaume. Labda msiwaongelee hawa ambao wako kwenye extremes. Tupe experience yako na MO11 kwanza, katuwakilisha vibaya nini?Kitu ambacho huwa nashindwa kuelewa basi ni akili ya baadhi ya wanaume. Huwa wanafikiri wameoa roborts, na hawana huruma kabisaaaa. And just because mwanamke kakua akiaminishwa kuwa yuko kwaajili ya kumplease mume basi anagugumia tu.
Juat emagine unafanya kazi, ila wewe ndio wa kwanza kuamka uandae wote(watoto na baba yao), ukitoka kazini una shughuli kibao, na bado utakuwa wa mwisho kulala.
Ila mwanaume bila hata haya utasikia hataki kupikiwa wala kufuliwa na msichana/kijana wa kazi. Basi anunue hata mshine ya kufulia nehiii, na hajigusi kumsaidia mkewe hata kusogeza viatu vyake.
Mwanaume anyefanyiwa hivyo unamsikia bila aibu akijisifia bila kujali taabu anayoipata mwenzie. Na usipofanya hata kimoja basi ndio kapatiapo na sababu za kuchepuka. Mwanamke nae anaona huo ndio uanamke chaaaah!!!
Neybright nini kinakufanya uwaze kuwa jando watafundisha hayo unayoyataka. Kumbuka watakaofundisha hilo jando ni wanaume hawahawa sio jando la babu zetu tena. Kwa sasa tulichikue jamvi hili kama jando.[emoji28][emoji28][emoji28]
Mpaka unajihisi kuchanganyikiwa mechoka mechoka kwakweli, embu hizo jando zirudishwe na wawakumbushe kwamba ndoa is not about kukutanisha miili tuu jamani kuna mambo mengi sana mfyuuuuu nachukia mno.
Si ndio watengeze cv inayokufaa.Mkishajua?
Hahaha wana moyoo...af badae yanakushuka shuu, nsamehe mume wangu hehe...
Shunie labda pia wachamgiaji wangesaidia kujua namna wanaweza kumtambua huyo muoaji na mchapaji, pia kumtambua muolewaji na ambaye bado yupoyupoWapo jamaan kwa nini wasiwepo
Hapana sitaki cv ya kutengenezwa, nahitaji mtu alie real.Si ndio watengeze cv inayokufaa.
[emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] auntie nakupenda munooooo you know [emoji8]
Haujakutana na bongo movie stars wewe!! Wakuektie hadi ufurahi na nafsi yako.Shunie labda pia wachamgiaji wangesaidia kujua namna wanaweza kumtambua huyo muoaji na mchapaji, pia kumtambua muolewaji na ambaye bado yupoyupo
Atleast watakumbushwa yale ya msingi wanayopaswa kufanya kwenye ndoa zao, maana wanajisahau sana mkuu tunaishia kutesana tuu.Neybright nini kinakufanya uwaze kuwa jando watafundisha hayo unayoyataka. Kumbuka watakaofundisha hilo jando ni wanaume hawahawa sio jando la babu zetu tena. Kwa sasa tulichikue jamvi hili kama jando.
Safi sana sasa wasaidie wengine namna ya kuwapata kina MO11 wao. Wewe uliwezaje kutokosea, au ulibahatisha! Natumaini MO11 sio peke yake duniani.MO11 is the best aisee. Sikukosea hata kidogo.
Weka uzi wa jando tu hapa halafu utakuwa umetatua tatizo maana hakuna mapoli ya kuwapeleka sikuhizi. Mitandao inahusika sana kushepu maisha ya watu siku hizi.Atleast watakumbushwa yale ya msingi wanayopaswa kufanya kwenye ndoa zao, maana wanajisahau sana mkuu tunaishia kutesana tuu.