Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa shem hataki moyo wa kupondeka
Hilo amekataa kabisa, naomba umwambie shunie aje pm kunifanyia cancelling maana mechoka mie, huu ujumbe umenifumbua macho kumbe mie nilikuwa tayari kuolewa lakini mwenzangu naona kama alishinikizwa na ndugu jamaa na marafiki ili aweze kuheshimika katika jamii [emoji26][emoji26],