Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo amekataa kabisa, naomba umwambie shunie aje pm kunifanyia cancelling maana mechoka mie, huu ujumbe umenifumbua macho kumbe mie nilikuwa tayari kuolewa lakini mwenzangu naona kama alishinikizwa na ndugu jamaa na marafiki ili aweze kuheshimika katika jamii [emoji26][emoji26],
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Taabu sana pale ambapo upande mmoja ndio unakuwa uko tayari. Hili somo i think liliwafaa zaidi wanaume maana huko ndiko taabu kubwa ilipo.
Jando irudi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji87]
 
tena acha kbs ndg yangu unajikuta kila mwezi ngozi ya uso inashuka tu!kuna wanaume wengn hata kubadilish bulb anakuambia anaona uvv yy hawez!had kubrush viatu anaona uvv yaan km taahira hv pyeeee!~ sasa ww hapo ukiangalia msururu wa kazi ulionao uwiiiiiiii!anasubiri jion iingie akaning'inie BAR ! SHENJI GETE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom