Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,919
- 183,334
Mo wangu ni pekee duniani.Safi sana sasa wasaidie wengine namna ya kuwapata kina MO11 wao. Wewe uliwezaje kutokosea, au ulibahatisha! Natumaini MO11 sio peke yake duniani.
Mo wangu ni pekee duniani.Safi sana sasa wasaidie wengine namna ya kuwapata kina MO11 wao. Wewe uliwezaje kutokosea, au ulibahatisha! Natumaini MO11 sio peke yake duniani.
Hahahaaa kwani wana act movie na wana act kwenye ndoa zao pia?Haujakutana na bongo movie stars wewe!! Wakuektie hadi ufurahi na nafsi yako.
Weeeeh!! Baada ya ndoa ndio unamuangalia mtu mara tatu tatu humsomiiii, yaani kama ndio unakutana nae lao maana humtambui kabisaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatembea na magoti kumpelekea maji ya kunywa chezea ndoa
Khaaaaah!! Mitandaoni watu hawachukulii vitu serious!! Mpelekwe maporini hukooo mkafundweee hadi mfundike, ikibidi na viboko mtandikwe kabisa. Mkirudi mrudi na akili zenu timamu.Weka uzi wa jando tu hapa halafu utakuwa umetatua tatizo maana hakuna mapoli ya kuwapeleka sikuhizi. Mitandao inahusika sana kushepu maisha ya watu siku hizi.
ahaaa Haya mwanangu, ubarikiweMo wangu ni pekee duniani.
Hapana, una jambo wewe na wanaume hebu liseme waziwazi. Kwani yeye alikwenda jando la wapiKhaaaaah!! Mitandaoni watu hawachukulii vitu serious!! Mpelekwe maporini hukooo mkafundweee hadi mfundike, ikibidi na viboko mtandikwe kabisa. Mkirudi mrudi na akili zenu timamu.
Alikwenda jando la porini huko, aliua hadi simba. Sio nyie mnaokimbia hadi mende!!!Hapana, una jambo wewe na wanaume hebu liseme waziwazi. Kwani yeye alikwenda jando la wapi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Weka uzi wa jando tu hapa halafu utakuwa umetatua tatizo maana hakuna mapoli ya kuwapeleka sikuhizi. Mitandao inahusika sana kushepu maisha ya watu siku hizi.
Nimemmiss kaka yako Daby angekuhoji mambo ya shemeji yake.Alikwenda jando la porini huko, aliua hadi simba. Sio nyie mnaokimbia hadi mende!!!
Hahahah!, sio ndoa wala umpendae tena! [emoji1]Wewe usubiri kulelewa na wajukuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ni yalee au kuna mengine
Dada ake benpol jamaan