DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Asante Shunie kwa somo zuri kwa dada zetu
Tehe!, Duhhhh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatembea na magoti kumpelekea maji ya kunywa chezea ndoa
HAHA!, eti mie na yeye wote tukimbie mende, akitokea nyoka si ndo atanifia kabisa!!![emoji15]Alikwenda jando la porini huko, aliua hadi simba. Sio nyie mnaokimbia hadi mende!!!
Yule anajitekaga mwenyewe.Halaf madame b sijamuoana toka mfungo uishe au katekwa jaman
Hahahaaaaaaaaa!!!!Daah naskia wivu mpaka hasira acha kututambia basi [emoji42][emoji42]
Akitokea nyoka ndio mwafwaaaaa!!!HAHA!, eti mie na yeye wote tukimbie mende, akitokea nyoka si ndo atanifia kabisa!!![emoji15]
Nadhani atarudi tu.Daby sijui ndio kaikimbia jf!!
Mie nawaangalia tu mnavojisahau!!! Mtachambwa mjute, maana kuna vivulana humu bi chau kasingiziwa.Kwan Ney anataka tuwafunde nini jamaan anataka tutolewe povu