[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahahahah! walah ndoa hizi khaaa!nilifanya bwana ile ya kupokea had koti siju nkumvua viatu,i kufungua vishikizo aliniuliza oya UMETUMWA NA CHADEMA EH???yaan niliishia kucheka hatari kwakwel kila mtu na ndoa yake
Si ndio hapo sasa, kujitia anawafahamu wanawake wa humu wote!halafu anahisi kila cha humu cha cha kweli
mfumo dume
Hehe huyu namtaka aiseeKuna dada mmoja ye huwa anaisha kuvalishwa engagement tu, Watu wanakula kona sababu ni mdomo wake
Wakati huo nawe unajiandaa kuwa mume na baba??Afadhali kuwe na thread kama hizi zitutengenezee wake tuwatakao kuoa
Mie mzima mamii! Ndio ulipotea kwenda kujiandaa?[emoji85] [emoji85] [emoji85]Sawa auntie mzima lakini
Hehe unatafuta hapa [emoji3][emoji3]ebu kuwa serious aiseeNatafuta mke jamani.
Saa ingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] we sio mtu mzuri kabisa kwahiyo ulitaka ashinde na twende kilioni tu
Anatukana matusi mazito yani yanabebeka kwenye Lori la mchanga, haangalii mkubwa mdogo, ofisini wala wapiDuuh ni mbea, ana mdomo mchafu au anaongea kupitiliza?
hawapendi kupingwa kwa hoja yaani wanaamini wako sahihi wao tuuuuSi ndio hapo sasa, kujitia anawafahamu wanawake wa humu wote!
Hao "wadada wa humu" wanaochamba waume zao unawajua wangapi? Au ilimradi tu nawe umechangia mada!!!
Wanawake kwa midomo hatujambo...some wanahitaji msaada wa kiroho kbs... Sijuo km kuna mwanaume mpenda kelele nyumbani
Nilishajiandaa kuwa baba/mume boraWakati huo nawe unajiandaa kuwa mume na baba??
Sema neno moja tu.......usipite hvhvnapitaa