Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unakuwa na mzigo wa kulea mtoto mkubwa na wanao wadogo khaaah!!!

tena acha kbs ndg yangu unajikuta kila mwezi ngozi ya uso inashuka tu!kuna wanaume wengn hata kubadilish bulb anakuambia anaona uvv yy hawez!had kubrush viatu anaona uvv yaan km taahira hv pyeeee!~ sasa ww hapo ukiangalia msururu wa kazi ulionao uwiiiiiiii!anasubiri jion iingie akaning'inie BAR ! SHENJI GETE
 
hhahahahha espy bwana najihis kuumwa bas nimejikuta nacheka tu hapa lol!argh
Hivi mtoto anapokosea si kuna wakati inabidi ukoromee kidogo ili akili imkae vizuri? Sasa mbona hawa huwa hawataki wanataka hata kama kakosea yeye wewe ujinyenyekeze ikibidi uombe na msamaha!!!
Haki kama hii ndio njia ya kwenda peponi basi ataingi Heaven Sent peke yake.
 
tena acha kbs ndg yangu unajikuta kila mwezi ngozi ya uso inashuka tu!kuna wanaume wengn hata kubadilish bulb anakuambia anaona uvv yy hawez!had kubrush viatu anaona uvv yaan km taahira hv pyeeee!~ sasa ww hapo ukiangalia msururu wa kazi ulionao uwiiiiiiii!anasubiri jion iingie akaning'inie BAR ! SHENJI GETE
Kitu ambacho huwa nashindwa kuelewa basi ni akili ya baadhi ya wanaume. Huwa wanafikiri wameoa roborts, na hawana huruma kabisaaaa. And just because mwanamke kakua akiaminishwa kuwa yuko kwaajili ya kumplease mume basi anagugumia tu.

Juat emagine unafanya kazi, ila wewe ndio wa kwanza kuamka uandae wote(watoto na baba yao), ukitoka kazini una shughuli kibao, na bado utakuwa wa mwisho kulala.

Ila mwanaume bila hata haya utasikia hataki kupikiwa wala kufuliwa na msichana/kijana wa kazi. Basi anunue hata mshine ya kufulia nehiii, na hajigusi kumsaidia mkewe hata kusogeza viatu vyake.

Mwanaume anyefanyiwa hivyo unamsikia bila aibu akijisifia bila kujali taabu anayoipata mwenzie. Na usipofanya hata kimoja basi ndio kapatiapo na sababu za kuchepuka. Mwanamke nae anaona huo ndio uanamke chaaaah!!!
 
Pia wanapenda kukuta kila kitu kwa mwanaume wao waende na nguo tu kama mahousegirl
 
tena acha kbs ndg yangu unajikuta kila mwezi ngozi ya uso inashuka tu!kuna wanaume wengn hata kubadilish bulb anakuambia anaona uvv yy hawez!had kubrush viatu anaona uvv yaan km taahira hv pyeeee!~ sasa ww hapo ukiangalia msururu wa kazi ulionao uwiiiiiiii!anasubiri jion iingie akaning'inie BAR ! SHENJI GETE
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji10]
Jamani kama kuna kungwi aliyebobea naomba aje anisaidie kumfunda mume wangu [emoji26][emoji26].
 
Madam Shunie umetoa somo mjarabu sana lakini ni mabinti wachache sana watakaokuelewa. Wasichana wa siku hizi ni vigumu sana kuelewa nini wanataka. Mwanaume anaweza kujitokeza akiwa na nia ya dhati kabisa kumuoa binti lakini binti akawa hasomeki. Mabinti wa siku hizi wamekaa kichunaji na kichangudoa zaidi. Mtu ukitaka mke mzuri wa kuoa nenda kijijini. Hapa mjini pamejaa vyangudoa tupu. There are so many actors and it is extremely difficult to sort material wifes to be from latent harlots.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu hata apa mjini wa kuolewa wapo jamaan sio huko vijijini
 
Back
Top Bottom