Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Shunie hii ni nondo moja matata sana. Imefika muda Vijana tunaogopa.


Kuna siku mama aliuliza unawowa lini nikaishia tu kucheka.


Ila mungu yupo naimani na miss right yuko karibu kuja
 
Back
Top Bottom