Am good sweetheart!!Auntie akee mzima lakini
Haaaaa!Kuna binti nlitaka nimuoe nkabadilisha mawazo sababu hataki kuacha kuvaa makatani kichwani
Ulisahau na kumvua Socks. Pole kumbe uliifanyia kazi ile mada HA,HAAAAA!
Uwiiiiii! inabidi mama ule kona eti.ila tusemeni ukweli kuna mama wakwe wengine hawafai kabisaa!weee..nilishika kichwa mm kuona aibu mm
anamuambia mama unajua mm mwanao naongea nae vipi
ukitaka usikilizwe hebu mpe nnavyompaa
Mbona unanipa pole we mtoto mzuri, sijaangukia jumba bovu asee!!Pole eli jamaan na wenye gubu pia