ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,111
- 40,420
- Thread starter
- #121
Umeolewa lini babe 🤣🤣kwanini usiniamini binti🤔😅
Umeolewa lini babe 🤣🤣kwanini usiniamini binti🤔😅
Mimi SI najijua 😝Kumbe una akili eeh hapo sawa 🤣🤣
Kwamba 🤣🤣Mimi SI najijua 😝
Bila usalama wa taifa itakuwa hatari sanaKwamba 🤣🤣
2weeks ago😉😉Umeolewa lini babe 🤣🤣
Heh si tutakua wawili mahi au sitoshi kukulinda au😔Bila usalama wa taifa itakuwa hatari sana
Ni kubayaaa! Mambo ni motooo sijawahi ona hii hali .Dear sister nisamehe mimi nikikua nitaacha nakuahidi😊😊
Mie nilidhani wakubwa mmenyoka
Kumbe mnataka kuch kuch hotahe 🤣🤣
Basi tutalindana 😅Heh si tutakua wawili mahi au sitoshi kukulinda au😔
Hii chai haina sukari hamna hata mwaliko ☹️2weeks ago😉😉
Kama umesema wewe mimi nipinge kama nani😅😅😅Ni kubayaaa! Mambo ni motooo sijawahi ona hii hali .
Bado 🤏 ngazi chache nafikaUkifika 30 uje tupige hii story vizuri. 😂
TawileeeeeBasi tutalindana 😅
nitakualika kwenye bby shower dearHii chai haina sukari hamna hata mwaliko ☹️
Kama ndoa nimekosa bby shower si utasema nitakuloga 🤣🤣nitakualika kwenye bby shower dear
Yes haya karibuFor every Action there is equal and opposite reaction
Nashindwa kicheke 🤣au nisikitike 🥲Hzi nyuzi zinanifanya niwe natokwa na maziwa ya mgando kweny nyeti ninapolala. Sipendi mie
hahahahah upande wa mama hakunaga wachawi ila ungekua aunt a.k.a upande wa baba ungeishia kutuona kwa mbaliiiiiiii😅😅😅Kama ndoa nimekosa bby shower si utasema nitakuloga 🤣🤣
Shenziiiiiiiiii we binti🤣🤣 nimecheka sanahahahahah upande wa mama hakunaga wachawi ila ungekua aunt a.k.a upande wa baba ungeishia kutuona kwa mbaliiiiiiii😅😅😅
Nimefanya je sasa mkuu🤣