Unataka au hutaki😉

Unataka au hutaki😉

yule nyau nilijifanya kumkazia na yeye akasusa😭😭
Uwiiiii hehehehe 🙌🙌🙌
alikua last born ikabidi mimi ndo nianze kubembeleza tena kwa kumgusa gusa na kalio😅😅😅 hapo ishafika asubuhi tayali
Mungu wangu mida ya majeruhiii ndio ukashtuka so ulifanikiwa kuliamsha joka lake🫣
 
ushai date last born wa kishua alf ni toto la seminary kuanzia kindagate?
sijawahi dihaaa🤣🤣
madako yake hiyo siku niliondoka na utam wangu😅😅 saivi tupo kwenye ndoa ndo ana nikumbushiaga tunabaki kucheka
Kukuamini wewe labda ninywe kwanza chochote kitu siaminiiiiii🤣🤣🤣
 
Ukishinda JF kwenda mbinguni ni kazi sana, sasa mimi nakimbia zambi mdogo wangu unaniita.

🤦🏻‍♀️
Dear sister nisamehe mimi nikikua nitaacha nakuahidi😊😊
Anyways mi napenda kuombwa… ni kama kila siku sitaki ila nataka sana tyu
Mie nilidhani wakubwa mmenyoka
Kumbe mnataka kuch kuch hotahe 🤣🤣
 
Back
Top Bottom