Unataka au hutaki😉

Unataka au hutaki😉

Unataka au hutaki? 🫣

Aliuliza hivi, Darling, itawezekana kweli huu siku upite hivi? 😉

Mi nikamwambia, Eeh, itawezekana Yes, wewe usijali, lala na utulie

Heh... gafla bin vuu, mkono wake nikausikia unapapasa kifua taratibu Nikamwambia, Hapana, nasikia kizunguzungu, nasikia kama homa hivi(sitaki nataka)

Akaamka taratibu, akachukua tauro, akaloweka kwenye maji, akaanza kunikanda kwenye paji la uso, akashuka mpaka kifuani, ananikanda taratibu😊

Kumbuka hapo tulikubaliana kua je inawezekana😆

Basi bhana, sijui hata ilikuaje

Kulikua na moment fulani hivi👌

Alikua ananukia perfume fulani, anadai ni mwaka wa kumi na tano hajabadilisha

Nikasema, Weee... inanukia balaa

Basi bhana... Bluetooth connected 💋

Bonge la moment, issue ikawa deep

Basi bhana, si nikashtuka

La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila ukiachana na hiyo ndoto yangu...

Hivi wewe ulishawahi kua na bebe, time ya jigijigi ukawa sitaki nataka, au yeye akawa sitaki nataka?

Vipi, jigijigi iliyokua na kamchezo sitaki nataka, unaona vibe lake lipo je?

Thank you JF tutakuna next time 🫂
ShesRise_1 🤚
We mimi napenda kubembelezwa na kudekezwa.
Napenda kuombwa vizuri mimi 😛.
Halafu ndo nakuwa nataka sasa
 
Ivi kumbe we pia ni last born wa Jf
 
Unajua umenihamisha ujue.
Niko kwenye band lakini ghafla nikajikuta kitandani 🙆.
Halafu Niko mwenyewe na hii Baridi 😖
😅😅😅😅 bora uko mwenyewe aisee
min -me bwashee njoo utoe somo la ukimwi sitaki lawama 🤣

Ila we shoga angu we ndio mwanamke sasa nina hakika hukufanyiwa ukarabati 🍑 kama wamasai realMamy
 
😅😅😅😅 bora uko mwenyewe aisee
min -me bwashee njoo utoe somo la ukimwi sitaki lawama 🤣

Ila we shoga angu we ndio mwanamke sasa nina hakika hukufanyiwa ukarabati 🍑 kama wamasai realMamy
Mali safi hii 😅😅😅.
Halafu naitoaga kwa nadra.
Naiosha na maji ya baridiii.
So ni ya motoooo😜😅😅😅.
Sema nini ni akili za pombe hizi
 
Ukishinda JF kwenda mbinguni ni kazi sana, sasa mimi nakimbia zambi mdogo wangu unaniita.

🤦🏻‍♀️

Anyways mi napenda kuombwa… ni kama kila siku sitaki ila nataka sana tyu
 
Back
Top Bottom