Mchawi maandaz tu 😅Chai
Njoo upate fumbato murua02:00 🫂
ShesRise_1 🤚
Popote pale nitatupia bango bwashee iwe kwako au isiwe kwako ,kama serikali wanaiba tu wamesahau kulinda raia kwa kuwaonya kuhusu UKIMWI mimi nipo😅
Kuna ka namna hata wengi wa viongozi wameunguaKweli mkuu, serekale ni kama wanaona wanaumudu UKIMWI siku hizi. 😊
Hii imekaa poa sana
ShikamooKweli mkuu, serekale ni kama wanaona wanaumudu UKIMWI siku hizi. 😊
Mamb babeHii imekaa poa sana
Shikamoo
Hii kauli nimeikumbuka kitambo sana miaka ile JF ina akina Mshana jr , Mpwayungu Village 😂😂🙌🙌NAKAZIA
Sijambo mkubwa upo kweli babu kijana😅Marahaba hujambo binti!
Sijambo mkubwa upo kweli babu kijana😅
Sasa mbona sikuoni au umekua invisible jamaniNipo, hapa JF ndio kijiweni kwangu. 😊
Umeona jana Ronaldo ameambiwa na akina Lamine akalee wajukuu😅Nipo, hapa JF ndio kijiweni kwangu. 😊
Umeona jana Ronaldo ameambiwa na akina Lamine akalee wajukuu😅
Sasa mbona sikuoni au umekua invisible jamani