Unataka au hutaki😉

Unataka au hutaki😉

Unataka au hutaki? 🫣

Aliuliza hivi, Darling, itawezekana kweli huu siku upite hivi? 😉

Mi nikamwambia, Eeh, itawezekana Yes, wewe usijali, lala na utulie

Heh... gafla bin vuu, mkono wake nikausikia unapapasa kifua taratibu Nikamwambia, Hapana, nasikia kizunguzungu, nasikia kama homa hivi(sitaki nataka)

Akaamka taratibu, akachukua tauro, akaloweka kwenye maji, akaanza kunikanda kwenye paji la uso, akashuka mpaka kifuani, ananikanda taratibu😊

Kumbuka hapo tulikubaliana kua je inawezekana😆

Basi bhana, sijui hata ilikuaje

Kulikua na moment fulani hivi👌

Alikua ananukia perfume fulani, anadai ni mwaka wa kumi na tano hajabadilisha

Nikasema, Weee... inanukia balaa

Basi bhana... Bluetooth connected 💋

Bonge la moment, issue ikawa deep

Basi bhana, si nikashtuka

La haulaaa! Kumbe ni ndoto bhana, nilikua naota🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ila ukiachana na hiyo ndoto yangu...

Hivi wewe ulishawahi kua na bebe, time ya jigijigi ukawa sitaki nataka, au yeye akawa sitaki nataka?

Vipi, jigijigi iliyokua na kamchezo sitaki nataka, unaona vibe lake lipo je?

Thank you JF tutakuna next time 🫂
ShesRise_1 🤚
Mkuu hii haina season two?
 
Haya ngoja tuone
Vp nane nane
Kazi zinaendelea
Wananchi wanaendelea kumiminika viwanjani kufurahia na kushuhudia mapinduzi na maendeleo yaliyofanywa na serikali ya Daktari Samia hususani kwenye sekta kilimo, uvuvi na ufugaji hali kadhalika kwenye suala zima la usindikaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji.
Hakika mwamko na mwitikio ni mkubwa sana.
Elimu na huduma mbalimbali zinatolewa kwa viwango vya kuridhisha
 
Safiii sana furahieni maonensho
 
Back
Top Bottom