Ummesh
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,077
- 1,144
Mh! Utaozea jela weye.Ntang'oa matiti yake then nang'oa nyeti za mume wangu
Mh! Utaozea jela weye.Ntang'oa matiti yake then nang'oa nyeti za mume wangu
Umeamka vzr kwel kwelmwanamke ndo wa kujitunza
asili ya mwanaume ni kuchovya chovya mda wote...!!
hvyo mke wa mtu ndo wa kutunza heshima sana tu
waswahili wanasema'umalaya wa mwanaume ni sifa wa mwanamke ni kashfa'
kuna wanawake mnaelewa dunia ilipo.....mjuze mwenziomke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Ndio maana nakupendaMkuu Mimi najua sana kutukana lkn pawe na sababu , sasa wewe matusi yote haya umeyaleteje hapa?
Walishawahi kukutindua hao ving'anga'nizi hebu share na sisi kiutu uzimaKuna wanaume ni ving'ang'anizi mummy hasikii hawaelewi
Ni ibada ya Mungu gani na kwa dini ipi mkuu?Dyu dyu ni ibada si vyema kumnyima muhitaji! Maana mmeshakuwa sugu!
Lakin sisi wanaume ndiyo chanzo cha yote mkuuhata mke wa mtu ni mwanamke,,,, na mwanamke lazima atongozwe.....kukataa au kukubali hilo liko chini ya uweza wake......
Hahahaha! Kazi kweliSasa kifua kama chako hicho nitaachaje kukiwinda ilhali unakiacha wazi wazi sikubali...mpaka na mie nikilalie hata benzi nitakupa mama
Ndio mnaanzaga hv hv mwishoe unaishia kumtindua.... bila yy kujua pamoja na majibu yake mazuri hapa....ndio hapo utajua wanawake wanachoongea na wanachotenda ni vitu viwili tofauti..viumbe vya ajabu hivi mkuuNimekupenda bure