Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Hapa ni kwamba ukiskia au ukaona mkeo analiwa mfano gesti, kwenye mageto, porini nk. Mkeo mpaka amefika huko kwenye tukio na yeye pia alikuwa na akili zake kwa sababu kama hajakwambia kuwa alitekwa, alibakwa mpaka ukagundua. Hakuna cha ziada hapo zaidi ya kumchukulia hatua na yeye
 
Lakini Monicca hujawa mkweli hivi umekerwaje na kuvuliwa chupi kwa wake za watu? 1) ulishuhudia game kati ya mke wa mtu na mume wa mtu? 2)ulichungulia msg mawasilianobya watu isivyohalali? 3)au ni personal experience? Maana umenifanya niwaze tena na tena juu ya uzi wako. Maana hadi ukereke lzm moja kati ya hayo matatu yanakuhusu hebu chagua jibu sahihi Monicca
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Awatake radhi wake za watu kwa kuingilia faragha zao!!
 
The issue here is consent. Si ameridhia kuvuliwa nguo na hakubakwa?

Yeye ndo ajitambue kuwa ni mke wa mtu na ajue limits zake. Hizo limits ndo zitampa nguvu ya kukataa kutongozwa na kufikia kuvuliwa chupi.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Sasa huyo mke wa mtu anakujaje chumbani kwa mume wa mtu? Mi akijileta nagonga hadi 0713....kudadadeki!
 
mtoa post wewe ni jinsia gani? tuanzie hapo kwanza...maana ni kama unatusaidia kusema sisi wanaume.
 
Lakini Monicca hujawa mkweli hivi umekerwaje na kuvuliwa chupi kwa wake za watu? 1) ulishuhudia game kati ya mke wa mtu na mume wa mtu? 2)ulichungulia msg mawasilianobya watu isivyohalali? 3)au ni personal experience? Maana umenifanya niwaze tena na tena juu ya uzi wako. Maana hadi ukereke lzm moja kati ya hayo matatu yanakuhusu hebu chagua jibu sahihi Monicca
Kwani hayatokei haya? Kama yapo nadhani hata wewe unajua ukisoma vizuri utajua kwann niameandika
 
Monicaa maisha ya leo si wanaume au wanawake wote tuna shida na kitu inaitwa soni au aibu. Ww unatushambulia wanaume kisa wanatongoza wake za watu ila huangalii kuwa wake za watu wanajirahisisha kwa wanaume hilo unalipotezea kana kwamba wanachukuliwa mateka na kubakwa so hapo haujafanya sawa ktk kujenga hoja yako.

Haya turudi mbona nyie wadada mna vituko vingi tu. Leo si ajabu kugundua mdada unayedate naye kumbe ana majamaa wengine wawili yaani jumla ana wanaume watatu au unaona ni poa tu kwakuwa hakuna mwenye ndoa sio??
Lkn nyinyi ndiyo chanzo cha yote bila kuwatongoza watatokaje nje ya ndoa? Wengi wanatoka nje kwa sababu ya ushawishi wenu
 
Sababu zinazofanya mke wa mtu kunjunjwa
1.Kuwa huru (kwenye kipato mpka matumizi)
2.Kumpenda sanaa Mumewe (akisalitiwa au kukerwa na kitabia flani lazima agongwe na vinganganizi manake kila mwanamke anatongozwa)
3.Tabia ya asili( wengine toka zamani kuvua chupi kwake sio big dili kama kujeruhiwa moyo)
4.Ndoa za mapema au umri ambao ajapata exposure na akikutana na mtu anayemzidi mumewe kwenye mipango ya kesho lazima abanduliwe
5.Kufanya mapenzi ya Mungu( mwanadamu akifanya mapenzi ya Mungu usaliti unaisha)
Umeongea vizuri lkn umeongelea upande mmoja tu, kwann hujazungumzia wanaume ambao ndiyo watongozaji wakuu
 
Monica, ukitaka kujua jawabu, badili swali lako lisomeke hivi:

Kwa nini watu hutembea nje ya ndoa?
AU
Kwa nini watu hufanya tendo la ngono kabla ya ndoa?
AU
Kwa nini watu hufanya tendo la ngono?

Swali la mwisho ni zuri zaidi.

Ukiyapatia majibu yasiyo ya kinafiki mawali haya, hutauliza tena swali lako...

Baadaye nitatoa majibu yangu ya kitafiti...

Mic u Monica... Ila usimwambie mumeo!
Mkuu hayo ni mawazo yako, hivyo kinavyo someka kichwa cha hbr ndivyo nilivyokusudia
 
Kwani kila akitongozwa lazma akubali huyu mke wa m2 ana tatzo coz yey anajijua kuwa mke wa mtu why akubali na yeye ndo refa akisema hapana basi hapana akikubali amekubali au ana shikiwa panga? Huyo mwanamke mwenyew anakuwa na pepo la ngono
 
Back
Top Bottom