Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Seems like yamekukuta.! Pole sana mmhhh sisi Wanaume ndo tulivo ukizoea utaona kawaida tuu
 
Anayetongoza na anayekubari hali wote wanajua wanamilikiwa wamekosa hekima na busara kuheshimu Ndoa zao. Usipo jali yako utajali ya nani????
 
Mimi ilinitokea kipindi fulani, kipindi nasoma chuo, dada mmoja bhana nimempiga sound mpaka akakubali, (yeye alikuwa mwalimu in service), akaja mpaka ghetto, mida ya saa moja usiku nipo shughulin anapigiwa simu kupokea anamwambia "mume wangu nilifika salama, sema kurudi nitarudi kesho mambo yamekuwa mengi" nilichanganyikiwa kinoma, ila no way nikasema hapa kazi tu. Baadaye ndo ananiambia yeye mke wa mtu, sema aliogopa kuniambia.. yaani nilivurugwa kinoma.
 
Ni kweli inauma lakkkini!!! Unakuta sasa kakuzimikia mpaka unamwonea huruma inabidi tu umgonge utafanyaje sasa na wewe mwenyewe ulikuwa unahitaji Huduma hiyo!!
 
kuna dada alinitext fb (she is my long time friend) nikachat nae baadae akaanza kunieleza jinsi mumewe asivyomjali, hatengi muda kuwa nae and so forth,. sasa mimi nikawa namsihi awe mvumilivu huenda jamaa atabadilika pia nikawa nampa maneno ya faraja and most of the time akawa ananitafuta nachat nae na mwendo ni ule ule malalamiko juu ya mumewe. Sasa kaniambia kuwa next thursday tukutane sehemu tulivu na ameshaaga kwa mumewe kuwa siku hiyo ataondoka home ataenda kuwasabahi ndugu zake. I dont know what will happen hiyo keshokutwa aisee
 
Mimi kwangu mke wa mtu ni Poisson sumu ... Mimi namuenzi segolina wangu kwa shida na raha hadi kifo kitutenganishe
 
kuna dada alinitext fb (she is my long time friend) nikachat nae baadae akaanza kunieleza jinsi mumewe asivyomjali, hatengi muda kuwa nae and so forth,. sasa mimi nikawa namsihi awe mvumilivu huenda jamaa atabadilika pia nikawa nampa maneno ya faraja and most of the time akawa ananitafuta nachat nae na mwendo ni ule ule malalamiko juu ya mumewe. Sasa kaniambia kuwa next thursday tukutane sehemu tulivu na ameshaaga kwa mumewe kuwa siku hiyo ataondoka home ataenda kuwasabahi ndugu zake. I dont know what will happen hiyo keshokutwa aisee
Ujiandae pia kutoa raha yako..maana huwezi kula bila kuliwa
 
Tusilaumu upnde mmoja wanawake wengi na mBinti wengi wanavulia nguo waume za watu bila hata aibu bora huyo aKili zinarudia baada ya kupii mwanamke anawaza atamdanganya vipi mme wake na kesho tena .....Duuhhh hapa ...Pande zote ..Ni shida
 
Back
Top Bottom