Nilikata rufaa lakini walikataa wakasema mi wa tatu,ila nina mke so cute Monicca wewe cha mtoto.na wale niliokuwa nao wakipangwa msitari mkuu wewe na Avatar yako utahangaika pa kujichomeka usipate lazima uende mwisho tu.Hahahaha! Hongera, hata hivyo waamuzii hawakuwa fair ulipaswa kuwa mshindi wa kwanza
Hahahaha! Basi sawa mkuu, you have made my dayNilikata rufaa lakini walikataa wakasema mi wa tatu,ila nina mke so cute Monicca wewe cha mtoto.na wale niliokuwa nao wakipangwa msitari mkuu wewe na Avatar yako utahangaika pa kujichomeka usipate lazima uende mwisho tu.
Nadhani hakujua kama ni mke wa mtu alivyokuwa anamtongoza na pia huyo mwanamke hakuwa mkweli alimficha kuhusu ndoa yake mpaka hapo alipo banwa kusema ndio kasema kweli.Bila wewe kumtongoza angefanya yote hayo?
[emoji12] [emoji12]Hahahaha! Utaishia kunitaka tu mkuu, maana si kila unachokitaka utakipata
Kwahiyo unakubaliana na Mimi kuwa wanaume wengi wao akili zao zina kuwa interrupted na nyeg.e kirahisi?Watu 'wanalala' na shemeji zao, mabinti zao, mabinti wa kazi, dada zao, binamu zao, mama zao nk itakuwa mke wa mtu?
Zinaa inakimbiwa tu, hakuna namna nyingine!
100%Kwahiyo unakubaliana na Mimi kuwa wanaume wengi wao akili zao zina kuwa interrupted na nyeg.e kirahisi?
Utamfanya nnNimejisahau nini mkuu? Mm ni mwanamke mwenye ndoa nimejaribu kuwaza siku nimemkuta mume wangu na mwanamke mwingine.
Hayo ni maneno tu huna loloteHata wewe ushawah kutembea na Mme wa MTU sema ndo ulikuja kujua too late na wengine munajua kabisaa ila ndo hivo tena Kuhusu wake za watu Wengine wanatutongoza wenyewe leo request FB kesho ana anza kukusifia oooh I wish ungeniona mara napenda ulivo smart
Umewuwa!mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke