Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

ule uzi wako mwingine ulisema nyumba yako ni kaburi lako.

hapa unahoji umuhimu wa nyumba shelter basic human need nyumba??

kwani ukifikisha miaka 70 au 100 unaacha kujitaji mahitaji muhimu ya mwanadamu kama nyumba

unashauri umri wa mwisho kuwa na nyumba uwe miaka mingapi?
Hizi ni mada fikirishi mkuu, kuna umri ukifikisha inabidi ujipe furaha tu, si kuhangaika na ujenzi, vyeo, kujilimbikizia mali n.k kwa sababu ni umri wa lala salama na hautaondoka na chochote.​
 
Kuwa karibu na muumba wako kivipi wakati Mwinyi amekufa na miaka 97 assuming angekuwa amekusoma wewe miaka ya 88 huko halafu asijenge mpaka 2024 hali ingekuwaje?

Mwinyi nimemuweka kama mfano tu maana wapo wanaoondoka na umri wake tena na zaidi.
Mwisho wa siku hapa duniani unaondoka na nini?
 
I come from a poor family :Agakakskagesh:

Pole mkuu, kama kweli umekuwa/kutokea kwenye familia ya kimasikini, si ajabu ukawa mbinafsi, mchoyo, usiyejali kuandaa ahueni "relief" kwa kizazi chako.
Umasikini ni zao la mambo mengi yakiwemo, kujifikiri mwenyewe, kutokujali wengine na ubinafsi.

Kama ungekuwa umekulia kwenye ahueni, ungeona kawaida wewe kuwaacha wengine ahueni.

Samahani, nimetumia lugha ya kukushambulia lakini sina nia mbaya.
 
vijana pia hufa hata watoto hufa kifo kinaweza kumpata yeyote muda wowote.Unaweza ukasema utakufa baada ya miaka 70...ukaishi miaka 120 inawezekana hakuna anayejua atakufa lini.

kuna jamii nyingi zinazowatunza na kuwathamini wazee wao na kuwaheshimu bila kuwatenga,
.
 
Hao unaosema ni matajiri, wana visima vingapi vya mafuta hapo mashariki ya kati? au hapa nchini wamewekeza kwenye kiwanda gani cha kutengeneza ndege au vifaru?​
 
Wengi tunajichosha na vitu visivyokuwa vya msingi, na kupelekea kufa kwa presha, sukari n.k yote ni kuwaza na kupambana na ya dunia tu.​
toka zama za kale za mawe mwanadamu amekuwa akipambana na human basic need kama nyumba shelter,food,cloth

ambavyo ndio vitu basic

vitu vya msingi kwako ni vipi?? kama nyumba sio kitu cha msingi kwa mwanadamu,hata wanyama na ndege tunaowafuga majumbani kwetu tu nao pia tunawajengea nyumba za wao kuishi
 
nyumba ya kuishi tu sio utajiri...ni basic need ni hitaji la msingi tu la mwanadamu...na ni wajibu wako na kwa familia yako uliyoileta mwwnyewe duniani..
 
vijana pia hufa hata watoto hufa kifo kinaweza kumpata yeyote muda wowote.Unaweza ukasema utakufa baada ya miaka 70...ukaishi miaka 120 inawezekana hakuna anayejua atakufa lini.

kuna jamii nyingi zinazowatunza na kuwathamini wazee wao na kuwaheshimu bila kuwatenga,
.
Unahisi ni kwa nini jamii zingine haziwaheshimu wazee?
 
vitu vya msingi kwako ni vipi?? kama nyumba sio kitu cha msingi kwa mwanadamu,hata wanyama na ndege tunaowafuga majumbani kwetu tu nao pia tunawajengea nyumba za wao kuishi
Tunawalazimisha hao viumbe kuishi kama sisi, tukiamini sisi tuna akili zaidi kuliko wao.
 
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Ya kustaafia
 
Back
Top Bottom