Una plan ka zangu mi nataka nkfika 35. Wawe wametimia wa4 inshallahLife is a race so you have to run your own race,panga mipango vizuri mimi 32 yrs mwisho wangu wa kuzaa my four kids nafunga uzazi sasa nina wawili🥰
Mwamin mkeoHii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Mambo ya kusumbuana uzeeni mara ada za chuo hapana ni kupumzika na kusalimia wajukuu tuUna plan ka zangu mi nataka nkfika 35. Wawe wametimia wa4 inshallah
Halaf nguvu kwisha. Visukari na presha kama vyote na bado uanze kuomba extension za adaMambo ya kusumbuana uzeeni mara ada za chuo hapana ni kupumzika na kusalimia wajukuu tu
👏👏 Fact mkuuWadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
Wadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha
Sijui huwa wanazani haya mambo yako kwenye ofisi zao tuu...kila pahala pa kazi haya maupendeleo yapoWalimu mnatia aibu saana.
Hongera mkuuBinafsi nilioa nikiwa na miaka 23 wife alinizidi kama miaka mi2 hivi na alikuwa matured enough kuanzisha familia,ana adabu mpole mstaarabu.
NIkavuta jiko ndani na mimi nilikuwa na akili za kiutu uzima tofauti na vijana wengi ambao nilifanana nao umri.
So kuoa kwangu ilikuwa the best option kukaribisha new experience.
Now my wife is my best friend.
Hakuna mda sahihi. Ila jua tu kuzaa mapema raha yake haipimiki
🤣🤣🤣Hiyo kisheria umeoa japo akili Yako inakwambia Bado,,,,,jaribu kuachana nae afu ndo utajua ulioa au bado
Uoga wa maisha tu. Mm wakat nna mtt mmoja hata milo mi3 ilikua shughuli. Lakin now wakubwa na wanasoma shule nzuri wanakula wanachotaka. Ukiogopa majukum leo una guarantee gan kesho ndo itakua sawaHakuna ambaye hataki kuzaa mapema sema uwezo wa kujikim unakuwa mdogo inakulazim kusikilizia.
Sasa ww unashida gan wakati shem ndoana hudumia ngoma iko kwa boyz.Uoga wa maisha tu. Mm wakat nna mtt mmoja hata milo mi3 ilikua shughuli. Lakin now wakubwa na wanasoma shule nzuri wanakula wanachotaka. Ukiogopa majukum leo una guarantee gan kesho ndo itakua sawa
Ulikuwepo ehSasa ww unashida gan wakati shem ndoana hudumia ngoma iko kwa boyz.
Ni manzi tu sema ndio hivyo ananipaga utelezi mara kwa maraMwamin mkeo
Bado miwili mkuuWadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha
Utalea wajukuuWadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha