Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa,maana mwisho wa siku yote ni ubatili!
Btw nina 36, watoto wawili na sina mpango wa kuoa kabisa!
Ikitokea nikapata wa kusindikizana naye uzeeni Inshallah,ila siwezi mtafuta kwa presha.
Kipaumbele ni mahitaji yangu ua msingi na ya watoto niyapate.
 
Back
Top Bottom