Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Ebeneza unazingua, mke hatafutwi kama unatafuta chumba, kwanza toa hiyo namba, hakuna mwanamke atakupigia, unazunguka masokoni, kwenye misiba, stand za mabasi, makanisani wamejaa tele unaacha kusemezena nao unakuja kuomba invisible huku, jikague vizuri
 
Mkuu,Dunia inabadilika,Teknolojia inarahisisha mambo,

Waliopo huko masokoni ndio hawa hawa waliomo humu JF,
Muache jamaa awe huru kwa njia aliyoichagua yeye mwenyewe.
 
Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30-37,Dini awe mkristu,mwenye upendo wa kweli.
Sifa zangu
umri 38,mkristu,mpambanaji pia,. Tuwasiliane kwa namba 0722762837
karibu Sana tuanzishe familia ya upendo ,Aman,nafuraha.
UnaUjasiri....

Utapata.....

Uvumilivu Ndio Kila Kitu 🙏⁉️
 
Mlikataa tamaduni za wazee wenu kuwatafutia wanawake wenye heshima....!! Angalia mnavoteseka...

Mwanamke unaemtaka huwezi kumpata kwenye mitandao ya kijamii.

Wambie wazee wako. Acha mawazo ya vijiweni
 
Mkuu,Dunia inabadilika,Teknolojia inarahisisha mambo,

Waliopo huko masokoni ndio hawa hawa waliomo humu JF,
Muache jamaa awe huru kwa njia aliyoichagua yeye mwenyewe.
Kwanini asiongee nao huko huko masokoni sasa ambako unamuona mtu live alivyo unavutiwa naye naye anakuona kuliko kuja kubet huku mkuu, kuliko kuja kuomba mke huku ambaye ameweka picha fake haya amekukubalia siku ya kukutana mnaogopana usijekutana na kingkong yote ya nini hayo??
 
Allow him to do what works best for him,
The guy does what suit him is fine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom