Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,906
Haya bana šUtajijuaš¤
Haya bana šUtajijuaš¤
Aisee š¤š¤š¤,, unataka umfanye nini sasa mtoto wa watu..Kumbe wadada wote mnamtetea mwenzenu. Mtaona nitakachomfanya mwenzenu
Sasa umeanza kunifundisha la kumfanya nilikaheshimu ila sasa katajua hakajuiMpaka Puru anamla
Wewe ngoja tu lazima aisome nambaAisee š¤š¤š¤,, unataka umfanye nini sasa mtoto wa watu..
Haya bhana,, maana mlivyotongozana hamkutushirikishaššššWewe ngoja tu lazima aisome namba
š¤£š¤£š¤£Haya bhana,, maana mlivyotongozana hamkutushirikishašššš
ššššØšØšØWadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
š³JamanSasa umeanza kunifundisha la kumfanya nilikaheshimu ila sasa katajua hakajui
Umeyaanzisha mwenyeweš³Jaman
š¤Umeyaanzisha mwenyewe
Mkuu??? Umri umeshaenda nini unaanza kuingiza upepo???? Ingia google tu kaka. Andika sperm quality v.s age..... pole sana...Jay Z mtoto wake wa kwanza kampata akiwa na miaka 40 acha kuwatisha watu kuna yule mzee muigizaji juzi hapo kapata mtoto wa kiume akiwa na miaka 68, kiufupi mwanaume hana mwisho wa sperm maturity nachelea kusema hata Babu wa miaka 120 anaweza akatungisha mimba na kurutubisha YAI
Haina age usibishane na uumbaji Mwili una namna ya kujitengezea wenyewe ndio maana unaweza kubadirisha WANGA kua MAFUTA acha ubishiMkuu??? Umri umeshaenda nini unaanza kuingiza upepo???? Ingia google tu kaka. Andika sperm quality v.s age..... pole sana...
Mpwayungu VillageHii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Sababu ya kufanya hvo ni nin.. unapenda watoto au znaingia bila kukusudia na huwez pangaMiaka 36 sasa watoto 6, first ana miaka 16(wa kike) tukitembea ni mtu na kaka yake, wa mwisho ana miaka 3 nategemea nikifika miaka 60 mtoto wa mwisho atakuwa na miaka 27 mtu mzima kabisa, pensheni yangu nitaila kwa raha sana.