Madueke
JF-Expert Member
- Jul 5, 2023
- 327
- 396
Hiyo kisheria umeoa japo akili Yako inakwambia Bado,,,,,jaribu kuachana nae afu ndo utajua ulioa au badoSijawahi waza kuoa, Nina watoto wawili niliozaa na mama Yao ninayeishi naye kwa amani na Upendo
Hiyo kisheria umeoa japo akili Yako inakwambia Bado,,,,,jaribu kuachana nae afu ndo utajua ulioa au badoSijawahi waza kuoa, Nina watoto wawili niliozaa na mama Yao ninayeishi naye kwa amani na Upendo
Kwenye maisha hakuna kuchelewa ama kuwahi kuchelewa na kuwahi ina ambatana na kujilinganisha , ukiweza kuepuka kujilinganisha utaepuka hisia hasi zote na utakuwa mtu unaeishi ukiyafurahia maisha kwa amani na upendo kutoka ndani.Wadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha
U can't be serious bro yaani nijaribu tu kumuacha!!Hiyo kisheria umeoa japo akili Yako inakwambia Bado,,,,,jaribu kuachana nae afu ndo utajua ulioa au bado
Ukweli mchungu huu na the opposite is true for WOMEN..... [emoji28]Mwanamume anaoa umri wowote mkuu
Mwanamume mwenye 30s ndiyo yuko na soko kubwa kuliko wale wa 20s
Mwanamume mwenye 30s anaoa mwanamke wa umri wowote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo umeamua uje kushtaki hukuHii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Nimechukua notes hapaU can't be serious bro yaani nijaribu tu kumuacha!!
Nampenda ila sitomuoa, akikubali tuzeeke pamoja sawa asipokubali ni sawa pia nimempa uhuru wa kuchagua.
Sijawahi waza kuoa, Nina watoto wawili niliozaa na mama Yao ninayeishi naye kwa amani na Upendo
HakikaHuko ndilo kuoa.
Achana na Ile danganya toto ya kukimbizana na harusi, sijui Mahari, sijui Vyeti vya ndoa.
Ndoa ni Mume na mke kupendana, kuaminiana, kusikilizana, kusaidiana n.k
Umegoma; ni mgomoWadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha
AsanteWadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
Nakazia ujumbeWadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......

Kwa hiyo mnapozeeka pamoja mnakuwa nimme na mke au nimtu nademu wake???nimekuambia swala lakisheria lilivo unasema sipo serious yaani Sheria inasema ukiishi na mwanamke Kwa zaidi yamiezi SITA kiunyumba na majirani wakatolea ushaidi kuwa mlikuwa mkiishi kama mme na mke huyo tayari anakuwa mkeoU can't be serious bro yaani nijaribu tu kumuacha!!
Nampenda ila sitomuoa, akikubali tuzeeke pamoja sawa asipokubali ni sawa pia nimempa uhuru wa kuchagua.
Take it easy bro!! Nilikuwa nasisitiza hapo kwenye neno "jaribu"Kwa hiyo mnapozeeka pamoja mnakuwa nimme na mke au nimtu nademu wake???nimekuambia swala lakisheria lilivo unasema sipo serious yaani Sheria inasema ukiishi na mwanamke Kwa zaidi yamiezi SITA kiunyumba na majirani wakatolea ushaidi kuwa mlikuwa mkiishi kama mme na mke huyo tayari anakuwa mkeo
Soon nagonga 30 Sina hata mtoto hili swala halijakaa sawa! Nadhan muda sahihi ni miaka 27.Wadau,
Hivi huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngapi?
Nawasilisha
NimekusomaTake it easy bro!! Nilikuwa nasisitiza hapo kwenye neno "jaribu"
Yaani kuna mzee amestaafu bado analipa ada watoto wapo chekechea namcheka sanaSoon nagonga 30 Sina hata mtoto hili swala halijakaa sawa! Nadhan muda sahihi ni miaka 27.