Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Wadau . Hiv huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama

Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngap
Nawasilisha
Binafsi nilioa nikiwa na miaka 23 wife alinizidi kama miaka mi2 hivi na alikuwa matured enough kuanzisha familia,ana adabu mpole mstaarabu.

NIkavuta jiko ndani na mimi nilikuwa na akili za kiutu uzima tofauti na vijana wengi ambao nilifanana nao umri.

So kuoa kwangu ilikuwa the best option kukaribisha new experience.

Now my wife is my best friend.
 
Hii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock

Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum

Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Hapana. Lady is first
 
Back
Top Bottom