Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,278
Assume unaoa sasa una 36 and 38 first born kataanza shule ukiwa na 44 katamaliza la 7 ukiwa na 50 kataamaliza f4 ukiwa na 55 tayari mstafu ila kumbuka kuna second third na forth
Mbona ni kawaida sanaSababu ya kufanya hvo ni nin.. unapenda watoto au znaingia bila kukusudia na huwez panga
Pressure ipo kwa wanaume zaidi, nyie wadada sawa kuna pressure lakini utofauti ni mkubwa sana.Uoga wa maisha tu. Mm wakat nna mtt mmoja hata milo mi3 ilikua shughuli. Lakin now wakubwa na wanasoma shule nzuri wanakula wanachotaka. Ukiogopa majukum leo una guarantee gan kesho ndo itakua sawa
Watu mna maajabu kweli! yani unaogopa kuoa kwa kuogopa maisha ilhali kwa uchache una mahusiano na wanamke (kama sio wanawake), pengine una watoto wawili watatu na mara nyengine ni kwa wazazi wenza tofauti tofauti halafu mnasema hamuoi kwa kuwa maisha bado magumu.Wadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
Wanaume nimependa umoja wenu, mnafariji mwenzenu but in reality amechelewaHakuna umri sahihi wa Mwanaume kufunga Ndoa sogea tuishi wapo wengi sana na hakuna umri sahihi wa Mwanaume kutungisha mimba sperms za Mzee wa miaka 130 zina uwezo wa kurutubisha YAI bila shida yoyote
Ukinitaja ndio unasikia raha sio😊Mzee wa kupambania unaharibu uzi pls
Na ulimuoa huyo huyo uliyezaa nae mtoto wako wa kwanza?Mtoto wa kwanza nilipata nikiwa na miaka 23!!
Ndoa kanisani nikiwa na miaka 30
Kwa nini ulichelewa hivyo?Mtoto wa kwanza nilipata nikiwa na miaka 23!!
Ndoa kanisani nikiwa na miaka 30
Urongo urongo urongo mtupu.36 huna mtoto? Jiandae kuitwa babu na wanao.... duh.. peak of muscle strength ishafika hapo, kifuatacho ni kudecline, hata sperm quality tayari inaanza kupungua... watch it mzee.. na ukiteleza ukafika 40 ndo basi teennaa
Huna tofauti na wale wanaotusema tunapoteza pesa kwenye pombe, wao hawanywi pombe na tunawazidi maendeleo.Watu mna maajabu kweli! yani unaogopa kuoa kwa kuogopa maisha ilhali kwa uchache una mahusiano na wanamke (kama sio wanawake), pengine una watoto wawili watatu na mara nyengine ni kwa wazazi wenza tofauti tofauti halafu mnasema hamuoi kwa kuwa maisha bado magumu.
Hii ndo dhana ya kudhani ili mtu aoe basi awe na hali flani ya kimaisha na hiyo ndo kuishi kwa kutazama wengine na sio kujiangalia wewe na hali yako, yani ili uoe unataka kipato chako kiwe kishafikia kiwango flani, una gari wengine mpaka uwe na nyumba.
Hebu jiulize, pale unapolala wewe mkeo hawezi kulala? pesa unayotumia wewe kwa siku haitoshi kuwa matumizi yako na mkeo kwa siku? Ukioa unapunguza gharama sana mfano pesa za guest house, vibomu vya kila mara sijui pesa ya kusuka, kuna handbag nimeipenda etc. wengine mnalipa kodi za nyumba zenu na mpaka vimada vyenu pia halafu bado unasubiri uwe tajiri ndo uoe.
Kaa chini jiulize pesa ulizotumia ndani ya miezi miwili tu iliyopita katika zinaa au matokeo ya zinaa ni kiasi gani ndo utaelewa unajichelewesha tu mwenyewe i.e. Kama una gari piga mpaka hesabu za mafuta unayoweka kwa mizunguko hiyo, na kama hauna piga hesabu mpaka ya gharama za bolt na uber unazolipia!
In reality mahusiano kabla ya ndoa huwa na ufake mwingi sana kulinganisha na maisha ndani ya ndoa. Okoa pesa ili utajirike, OA.
Anakula na kuiacha [emoji23][emoji23]Yanaweza kuwepo au yasiwepo lakini yote Kwa yote uwajibikaji kazini unamfanya mkuu amwone zaidi.......afu mbona aondoki nayo ....anakula na kuiacha[emoji855]
[emoji23][emoji23]Cc Mpwayungu village [emoji23][emoji23][emoji23]
Akili kubwa sana hii. Wachache mno watakuelewa mkuu.Wadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......