Sasa miaka hii si ni Mzee kabisa? Anapaswa awe na mtoto wa darasa la saba kwa uchacheWadau . Hiv huo umri mtoto wa kiume huna mtoto, hujaoa.. je umechelewa sana ama
Na avarage ya mke wa kuoa awe kuanzia ngap
Nawasilisha
kweli wewe jogoo mbegu😂Mtoto wa kwanza nilipata nikiwa na miaka 23!!
Ndoa kanisani nikiwa na miaka 30
Hii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mockNambie
36 awe na mtoto wa darasa la saba inamaana aww kapata mtoto akiwa na miaka 22 kwa maisha haya ya ajira ngumu wewe wale wakuzikuta yes wapo walipata watoto wakiwa 22 ila most ni accident not planSasa miaka hii si ni Mzee kabisa? Anapaswa awe na mtoto wa darasa la saba kwa uchache
Uli plan au accidentMtoto wa kwanza nilipata nikiwa na miaka 23!!
Ndoa kanisani nikiwa na miaka 30