Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,726
- 38,701
Mm Nina 48 bado sijafikiria kuoa
Hii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Yanaweza kuwepo au yasiwepo lakini yote Kwa yote uwajibikaji kazini unamfanya mkuu amwone zaidi.......afu mbona aondoki nayo ....anakula na kuiacha🤒Hii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
Ukorofi huo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Cc Mpwayungu village [emoji23][emoji23][emoji23]Hii imekaaje mwalimu mmoja tu shule nzima tena wa kike anachaguliwa kwenda kusahihisha mitihani ya mock
Na inasemekana sikuzote mwalimu mkuu ndiye hupendekeza majina ya wanaoenda kumark mnaita kazi maalum
Hivi hapo kweli kunakosa mazingira ya huyu madam aliyeenda kumark kuwa na mahusiano na ticha mkuu kweli?
😳Cc Mpwayungu village [emoji23][emoji23][emoji23]
Jay Z mtoto wake wa kwanza kampata akiwa na miaka 40 acha kuwatisha watu kuna yule mzee muigizaji juzi hapo kapata mtoto wa kiume akiwa na miaka 68, kiufupi mwanaume hana mwisho wa sperm maturity nachelea kusema hata Babu wa miaka 120 anaweza akatungisha mimba na kurutubisha YAI36 huna mtoto.???? Jiandae kuitwa babu na wanao.... duh.. peak of muscle strength ishafika hapo, kifuatacho ni kudecline, hata sperm quality tayari inaanza kupungua... watch it mzee.. na ukiteleza ukafika 40 ndo basi teennaa
Umeng'ata na kupulizia sio 🤣🤣🤣Yanaweza kuwepo au yasiwepo lakini yote Kwa yote uwajibikaji kazini unamfanya mkuu amwone zaidi.......afu mbona aondoki nayo ....anakula na kuiacha🤒
🤣🤣🤣Cc Mpwayungu village [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah💯Umeng'ata na kupulizia sio 🤣🤣🤣
Kwa asilimia kubwa huyu manzi ni anatoka na ticha mkuu
Hawa ma-madam wenye mvuto huwa ni chakula ya ticha wakuu
sio dhambi mbona wengine wanafunga ndoa kabisa😂Hawa ma-madam wenye mvuto huwa ni chakula ya ticha wakuu
Duuh! 😳Yeah💯
🤣🤣🤣🤣Tulia dawa ikukolee 🤒Duuh! 😳
Huyu madam ana mwaka tangu aanze kazi kawakuta wenzake lakini cha ajabu yeye ndiye anapendelewa hata mwaka jana alienda kumark
Basi nishapata jibu
Hatari sana mkuusio dhambi mbona wengine wanafunga ndoa kabisa😂
Mzee wa busara.Wadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
Hakuna umri sahihi wa Mwanaume kufunga Ndoa sogea tuishi wapo wengi sana na hakuna umri sahihi wa Mwanaume kutungisha mimba sperms za Mzee wa miaka 130 zina uwezo wa kurutubisha YAI bila shida yoyoteWadogo zangu.....wapwa zangu na marafiki zangu......
Kwenye haya maisha kila mtu ana ukurasa wake....Kamwe usiyaendeshe maisha yako kwa kufuata ukurasa wa maisha ya mwenzako.......kila mmoja ni nahodha wa jahazi la maisha yake na yeye pekee ndio anayejua changamoto za chombo chake kuelekea pwani..........
Usiyumbishwe na mitazamo au maoni ya watu kwenye maisha yao ukayajumuisha kwenye maisha yako...utajiletea majuto na vilio na hakutakuwa na wa kukubembeleza.....
Kila jambo hufanyika kwa nyakati sahihi kwa muono au utashi wa mhusika na sio kwa shinikizo......hata kuoa ukiwa na miaka 60 ni juu yako ilimradi iwe ni khiyari yako......
Unaweza ukawahi kuoa usibahatike kupata watoto au ukawahi kuoa na ukashindwa kuishi na mkeo ukabakia single kipindi chote Cha maisha yako...........
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake.......
Word is enough for the wise.....
Na inakolea kweli mamaé 😔🤣🤣🤣🤣Tulia dawa ikukolee 🤒