Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Umri 34-36 mwanaume umechelewa kuoa ama?

Ila duniani kuna ujinga..
Sasa umechelewa kwani unaenda wapi Maisha yako yenyewe magumu unataka kusababishwa wengine magumu..hivi hakuna sheria ya kufunga mtu akisababisha matatizo kwa watu wengine(kwa kuzaa watoto)

Mtu anakuambia anamtoto la Saba sasa inamsaidije kwenye Maisha yake..
Hata ajira zenyewe hazipo wazazi wanalea watoto wenye ndevu manyumban na watoto wanatamani wazazi wafe wapate kurithi chochote
....
 
Umechelewa mzee fanya upate watoto chap umri wa kuanza kupanga familia ni 25 apo ni kujaza vibendi kuoa ata 35
 
Back
Top Bottom