financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,193
- 43,543
Kweli hamnaga kuchelewa kila mtu na plan zakeMama mtu financial services bado hatujachelewa tunaweza kufanya jambo kwenye hii hii 30's
Kweli hamnaga kuchelewa kila mtu na plan zakeMama mtu financial services bado hatujachelewa tunaweza kufanya jambo kwenye hii hii 30's
Usijipe stress huyo ni wewe na mwingine ni kivyake ,kwa hiyo usijifananishe kabisa..Soon nagonga 30 Sina hata mtoto hili swala halijakaa sawa! Nadhan muda sahihi ni miaka 27.
Mbona unajipa shida kilakitu na nawakate ukifika utapata tuSoon nagonga 30 Sina hata mtoto hili swala halijakaa sawa! Nadhan muda sahihi ni miaka 27.
Kweli kabisa muhimu kuwa na subra tu Kila mtu ana Riziki katika suala la ndoa na watotoUsijipe stress huyo ni wewe na mwingine ni kivyake ,kwa hiyo usijifananishe kabisa..
Hata upate mtoto na 40 raha zipo pale pale na pia utakufa na kumuacha au yeye atakufa na kukuacha .
Naona umekazia [emoji3]Kweli kabisa muhimu kuwa na subra tu Kila mtu ana Riziki katika suala la ndoa na watoto
Yah 😀ya Nini kujipa presha Kuna muda ukifika kilakitu kinakaa mahala pake japo upweke nao sio jambo zuri sana
Kama kuoa ni kipato basi msiwe kwenye mahusiano kabla ya ndoa hapo ndo utajua kama unachokipata kinatosha. Tatizo tumerahisisha sana zinaa na wengi wanaona kwanini niji-limit na mke wakati ninaweza kui-enjoy madem tofauti tofauti bila any commitmentsMtoto wa kwanza nilimpata nikiwa 24 wa pili 29 mkuu kuowa na kuwa na watoto ni swala la kipato umri haujalishi. ila kama una yale mawazo ya ngoja nizae mapema ili watoto waje wanisaidie mkuu umesha chelewaa..😂😂
Kwa umri huo huwezi tena kufikiria kuoa!! Kuoa ni wito wa asili toka ndani ya mtu, na wito huo hutokea na kujidhihirisha wazi kati ya 23-35. Baada ya hapo wito unakata!! Anayeoa baada ya hapo haoi kutokana na wito anaousikia ndani yake bali anaoa kutokana na makelele anayoyasikia kwenye jamii!! Makelele ya kwenye jamii mtu anaweza kuyapuuza tu kirahisi!! Umesema kweli kuwa hufikirii kuoa na hautakaa ulifikiri hilo!! Kwanza mtu akianzisha mada ya kuoa unajisikia kuwa anakukera sana!! Ila kumbuka fainali ni uzeeni!! majuto ni mjukuu!!Mm Nina 48 bado sijafikiria kuoa
Hao ma-housewife ndo balaa!! tena kama una uwezo ukamtafutia na kijana wa kuhudumia bustani, basi huyo kijana atamhudumia hata huduma ambazo ni wewe tu unaweza kumhudumia!! Kwenye haya maisha tumeona mengi!!Hatari sana mkuu
Wanaume waliooa wafanyakazi mjue tu mnashare wake zenu na maboss za wake zenu
Wamama wa nyumbani safi sana hawanaga gharama kuwalaHao ma-housewife ndo balaa!! tena kama una uwezo ukamtafutia na kijana wa kuhudumia bustani, basi huyo kijana atamhudumia hata huduma ambazo ni wewe tu unaweza kumhudumia!! Kwenye haya maisha tumeona mengi!!
Mbona mzee mengi kapata watoto ana miaka 70+ au alimegewa?36 huna mtoto? Jiandae kuitwa babu na wanao.... duh.. peak of muscle strength ishafika hapo, kifuatacho ni kudecline, hata sperm quality tayari inaanza kupungua... watch it mzee.. na ukiteleza ukafika 40 ndo basi teennaa
The Age of Extinction
😅😅 Miaka 68! Watu wa rika lako wanacheza cheza na vijukuu we ndo unaanza kukesha usiku kucha kubembeleza mtoto alale? Hapana kwakweli. Mi ndhani miaka40 ndo umri wa mwisho mwisho kumalizia idadi ya watoto ulioplan kuzaa. Usifuate sijui flani alianza kuzaa na miaka 40, huwezi jua alikuwa na changamoto gani zilizompelekea hadi umri huo hana mtoto.Jay Z mtoto wake wa kwanza kampata akiwa na miaka 40 acha kuwatisha watu kuna yule mzee muigizaji juzi hapo kapata mtoto wa kiume akiwa na miaka 68, kiufupi mwanaume hana mwisho wa sperm maturity nachelea kusema hata Babu wa miaka 120 anaweza akatungisha mimba na kurutubisha YAI