Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

Kitu kimoja tu tunapishana.
Kuamini kuwa chama pinzani ni kupinga maendeleo.

Lakini naamini, kati ya mambo elfu moja ya kisiasa uliyoyajua hadi sasa, zaidi ya nusu yake umeyajua kwa sababu ya vyama pinzani.
Good comment
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Mmesheheni upuuzi wa propaganda.
 
Ila ni ya mabeberu wanaotuonea wivu!
Hayo ya wivu yatakuja baadae mkuu, hela ikishaingia Hazina wewe mwenyewe utwasha umeme na kufurahi na demu wako. Hayo ndiyo maendeleo, sasa mkiona wivu shauri yenu

Watu wanahitaji maendeleo
 
Hayo ya wivu yatakuja baadae mkuu, hela ikishaingia Hazina wewe mwenyewe utwasha umeme na kufurahi na demu wako. Hayo ndiyo maendeleo, sasa mkiona wivu shauri yenu

Watu wanahitaji maendeleo
Basi acheni ushamba wa kudharaua wanaowasaidi huku mkijidai mna hela.
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Hela mmepewa na ufaransa au jumuiya ya Ulaya?? Hizo hela wametoa ufaransa kwa mgongo wa umoja wa Ulaya wala sio umoja wa Ulaya ndo mana hapo wapo wafaransa tu

Kama hela zimetolewa na kusimamiwa na wafaransa Hilo halitushangazi kwa sababu sasa hivi ufaransa ni rafiki wa Ccm. Juzi tu Balozi wa ufaransa kuonana na Katibu Mkuu wa Ccm Dodoma, kabla ya hapo yeye pekee ndo aliyetoa tamko la kuipongeza Ccm.

Na wenye akili pia tunajua kuwa ufaransa anafanya hivi kwa sababu ana maslahi yake kutokana na kampuni yake kujenga Bomba la Hoima na sasa anafukuzia kuchukua kuchimba Helium na mradi wa LNG.

Ufaransa sio mara ya kwanza kuwa support madikteta, ameshawai kuwa support Mobutu, Bokassa na hata Saddam Hussein. Ila mwisho wa hao wote unajulikana
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili.
Kuna wale waliotengeneza kiki ya kutimukia ugaibuni, wakikwepa aibu ya kugaragazwa kwenye uchaguzi, wakisikia hizi habariii watajiuaa kwa pressure
 
Nilitegemea mleta mada ungejenga kwanza hoja kuhusu hizo pesa kama zinatoka kwa mabeberu ama zinatoka kwenye vyanzo vyetu vya ndani.

Hizo hazijatoka kwa Mabeberu

Naona wewe hujui maana ya Mabeberu kabisa..... fahamu tuu kuwa mabeberu sio wazungu pekee, hata waafrika wapo mabeberu

20201118_230335.jpg
 
Hizi ni habari njema kwa nchi yetu...
Ni kwa nini tusaudiwe. Kwani sisi ni walemavu tusioweza kujitegemea?

Hizi habar za kupewa msaada huwa sipendi kabisa kusikia.

Jaribu kuwaza tu,wewe katika familia yako litokee lijitu lianze tu kukuletea hela ama vitu ili uendelee kuishi.

Sijawahi elewa mantiki ya msaada kwa taasi hasa kama serikali.
 
Hata wakitokea hiyo misaada, msimamo wetu uko pale pale.Haramu ni haramu tu.

Hakuna fedha ya msaada au mmkopo inayoweza kulingana na utu wa mwanadamu, hivyo misaada au mikopo haiwezi kutunyamazisha wala ku-justfy uovu dhidi ya wanadamu...
Ukifuatilia sana unaweza kuta ni ukamilishaji tu wa makubaliano ya miaka mingi nyuma. Huwa hawatoi Hapo hapo. Tunachosubiri ni makubaliano mapya ya kutusaidia yatakayoendekea baada ya Mckalister kusimama kidete.
 
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi inakwama kupiga hatua za kimaendeleo. Sasa wataaibika na ndio mwanzo wa mwisho wa siasa zao za matukio na kupiga madili...
Swali langu ni moja tu.mkataba wa mkopo kwa ajiri ya ujenzi wa barabara ya njia sita kati ya ubungo na chalinze,uliwahi kusainiwa kati ya serikali yetu na WB?

Je barabara imejengwa?kama tunahitiji mikopo na misaada kwa nini tunafanya mambo ya kijinga,mambo yanayoweza kuifanya nchi yetu ikose hiyo misaada na mikopo? Tunafanya ujinga huo kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom