Kama amedhamiria na kujinyima, inawezekana kabisa. Sisi wengi tumechelewa kuyajua maarifa haya.Haya yanafaa sana kwa watu wote wakiwemo vijana walioko vyuoni ambao baada ya kuhitimu hujikuta hawana ramani yoyote so kama wakipata maarifa ya 10% baada ya kumaliza chuo ni mtaji tosha.
Nauza mimi boss 0768480963Hiki kinapatikana wapi?
Kipo boss
Kama upo na hiyo link nisogezee hapa comrade.Wakubwa halafu tumsuport jAmaa kwa kidownload na kishare link ya application yake ya maktaba. Ipo play store me tayari nishaipakua.
Naomba hiyo link mkuuWakubwa halafu tumsuport jAmaa kwa kidownload na kishare link ya application yake ya maktaba. Ipo play store me tayari nishaipakua.
Kama umesoma hayo madini aliyotuma jamaa kuhusu hicho kitabu jiangalie maisha yako ndo utajua ni hadithi tu ya kufikirika au ndivyo mambo yanavyokwenda kwenye Jamii miaka na miaka.Mimi napenda kuuliza tu kwamba, hichi kitabu kilikua kinahusu stori au hadithi ya kweli au ilikua ni hadithi ya kutunga tu?
Mwenye majibu tafadhali.
Naona umekosea kdg, pato lake alilojilipa hapo ni hyo 10%,ambayo nayo anatakiwa akaizungushe, hyo 90% ndio bili ya maji hapo, kodi, umeme, chakula etc.Mfano kama ujira wako ni tsh 100'000/= kwa mwezi, amua kuweka let say 10'000/= hiyo utabakiwa na 90. Hiyo tisini ndo kama umejilipa na nduo ya mahitaji yako mengine na kadhalika ila never ever usiiguse ile asilimia 10 kwa maana ya tsh 10'000/= uliyojiwekea akiba ukaitumia tena kwa matumizi.
Darasa moja, lakini uelewa tofauti kwa kweli.Mfano kama ujira wako ni tsh 100'000/= kwa mwezi, amua kuweka let say 10'000/= hiyo utabakiwa na 90. Hiyo tisini ndo kama umejilipa na nduo ya mahitaji yako mengine na kadhalika ila never ever usiiguse ile asilimia 10 kwa maana ya tsh 10'000/= uliyojiwekea akiba ukaitumia tena kwa matumizi.
Sahihi kabisa na usiiguse mpaka ikianza kukua kidogo,mfano mtu unapokea laki tano kwa mwezi,yaani kila mwezi utenge 10% 50000 ikifika japo miezi mitano au sita itakuwa zaidi ya laki mbili ama tatu hapo unaanza kuwekeza taratibuDarasa moja, lakini uelewa tofauti kwa kweli.
Mkuu, ulivyotiririka ndivyo mtoa mada alivyomaanisha, kasoro ni moja tu kwenye neno 'kujilipa' tumetofautiana uelewa hapo.
Nilivyoelewa mimi ni kuwa ile 10% unayoiweka akiba ndiyo kujilipa wewe mwenyewe huko.
Nadhani ni kutunga ila inaukweli ndani yakeMimi napenda kuuliza tu kwamba, hichi kitabu kilikua kinahusu stori au hadithi ya kweli au ilikua ni hadithi ya kutunga tu?
Mwenye majibu tafadhali.