Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,163
- 12,935
- Thread starter
- #81
Naongelea huyo unayemzu gumzia🤣Sina experience ya huyo papa unayemzungumzia😅
Naongelea huyo unayemzu gumzia🤣Sina experience ya huyo papa unayemzungumzia😅
Kivipi mkuuUmenichanganya aisee dah yaani papa 😂😂😂😂😂
Kivipi mkuu
Mkuu oaMa mkwe papa gani..
PAPA WEMBA?
PAPA samaki..
Papa wa katoliki
ama PAPA kiungo pendwa
Kama ni kiungo pendwa nina muda mrefu saana sijaburudika nacho..
Nahisi naanza hata kusahau kinafananaje na naweza nikasahau hata matumizi yake.😂🤣
Hujawapa na sifa ya harufu yake.Papa analiwa na kupikwa au kukaangwa akiwa mbichi au kubanikwa..
Ng'onda samaki yyte mkubwa au hata mdogo hukaushwa na kuwekewa chumvi ili kuliwa baadae akiwa mkavu..
Wavuvi wa Majarife\Nyavu chumvini wakikuta Jodari au Fulusi nk.wamekaa sana kwenye nyavu na teyari wamevunda.Hao samaki hawatupwi..Walitayarishwa na kuhifadhiwa kwa Chumvi\ Juani wawe Ng'onda. Kipindi cha Kusi samaki wanapoadimika Papa\Nguru\Ng'onda walitumika sana.
Huyu ninaemuongelea ni kama ana ngozi yake Kwa juu.akiwa mkavu inaonelana ngumuMe napenda zaidi nguru, ila papa big Si mbichi wala mkavu-huyo unosema ana chumvi nyingi.
Na sbb ni hio harufu km shii. Naskia kuna aina hio wanonuka shii...huku kwetu tunaita papa kojo. Na kuna wengine harufu yao kawaida tu ya samaki. Ila sasa kumjua yupi ndio yupi ndo mtihani.
Mara ya mwisho nilikula kwenye sherehe ya arusi, kulikuwa kuna mishkaki ya samaki na mpishi alipika ya huyo papa kojo, watu wote ilitushinda...ilishapita zaidi ya 15yrs now. Sijajaribu tena kula
siku nikitembelea ukanda huo wa pwani ntajaribuSiku jaribu
Means wakaribia 60 ehh 😅Me napenda zaidi nguru, ila papa big Si mbichi wala mkavu-huyo unosema ana chumvi nyingi.
Na sbb ni hio harufu km shii. Naskia kuna aina hio wanonuka shii...huku kwetu tunaita papa kojo. Na kuna wengine harufu yao kawaida tu ya samaki. Ila sasa kumjua yupi ndio yupi ndo mtihani.
Mara ya mwisho nilikula kwenye sherehe ya arusi, kulikuwa kuna mishkaki ya samaki na mpishi alipika ya huyo papa kojo, watu wote ilitushinda...ilishapita zaidi ya 15yrs now. Sijajaribu tena kula
Ni uziefu mdogo tu wa mzee wa kale😅😅😅Naongelea huyo unayemzu gumzia🤣
Nna 18 tu. Hio 15rys.ago nilikuwa nna 3yrs tu sema ndio nakumbuka kila kitu ha ha haaa.Means wakaribia 60 ehh 😅
Nawe unaimba hizo nyimbo?🎵"ugali na papa,
I like it"🎵
🙌🙌🙌🙌
Mzee wa zamani nawe unawaza kama vijana wa siku hiziNi uziefu mdogo tu wa mzee wa kale😅😅😅
Kwani Kuna sehemu wamesema sipaswi kuimba? Acha kujiweka kwenye boksi binti mnatuonea sana mnataka tuwe magangari alafu baadae mnasema hayuko romantic kabisaNawe unaimba hizo nyimbo?
Nimeuliza sababu nahisi hizo lyrics ni wimbo wa giggy money🤣🤣Mimi msukuma itanichukua muda sana kuja kuzoea samaki wa baharini, wana taste ya kunikinai sana
Kwani Kuna sehemu wamesema sipaswi kuimba? Acha kujiweka kwenye boksi binti mnatuonea sana mnataka tuwe magangari alafu baadae mnasema hayuko romantic kabisa
Kwenda zako, jay melody huyo sijui kama hata ggy ni msaniiNimeuliza sababu nahisi hizo lyrics ni wimbo wa giggy money🤣🤣