Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,162
- 12,926
- Thread starter
- #101
Aliwahi kuimbaKwenda zako, jay melody huyo sijui kama hata ggy ni msanii
Nampa Nampa papaa..
Humkumbuki?
Aliwahi kuimbaKwenda zako, jay melody huyo sijui kama hata ggy ni msanii
Kumbe ni giggy huyo, Mimi nilijua Saida KaroriAliwahi kuimba
Nampa Nampa papaa..
Humkumbuki?
Papa Musofe 😹Ma mkwe papa gani..
PAPA WEMBA?
PAPA samaki..
Papa wa katoliki
ama PAPA kiungo pendwa
Kama ni kiungo pendwa nina muda mrefu saana sijaburudika nacho..
Nahisi naanza hata kusahau kinafananaje na naweza nikasahau hata matumizi yake.😂🤣
Mara ngapi?Mkuu oa
Kabisa ma mkwe.. hii HEWA ya HALI ni inahitaji mchezo wa zero distanceNa haya mawingu ya mvua
Utaandika mengi😄
Ma mkwe nakuibia siri, nakaribia kunaliza tatizo, sasa hivi mkweo atakuja huku..Ba mkwe jikaze.
Na hapo bado.huko mbele utakiona mara Moja Kwa mwaka😄
Tamu sana!Sharubati ni juice
Inakuwaje?
4 Times inaruhusiwa atleast kwa MuslimMara ngapi?
1 tayari nahisi inanitosha, labda itokee apatikane mwenye sifa..4 Times inaruhusiwa atleast kwa Muslim