Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

Umewahi kula papa? Mara ya mwisho lini?

Ma mkwe, sasa toka kipindi kile mpaka leo imekatika miezi mingapi, wakati kikawaida mwanaume haipaswi kuzidisha wiki walau mara 1, bila kugusanisha nyaya.. tena zingatia neno walau
Ba mkwe jikaze.
Na hapo bado.huko mbele utakiona mara Moja Kwa mwaka😄
 
Wale tunaokula kwa wauza supu ya pweza nao ni papa??
Bahari ina makitu ya ajabu sana, kuna mwamba buguruni anauza hayo mazagazaga ya baharini mengine yana sura za ajabu kwelikweli.
 
Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒
Pili ni chumvi nyingi sana.

Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada.
Na pia kuunga mchuzi lazima bamia na nyanya chungu.

Mara ya mwisho kula papa ni lini?
Jamii yenu inakula?View attachment 3597452View attachment 3597453View attachment 3597454View attachment 3597455
Umenichanganya aisee dah yaani papa 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom