(5,179) Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongo | JamiiForums Tanzania Shurubati ya papa, Shurubati ya kamongoMa mkwe papa gani..
PAPA WEMBA?
PAPA samaki..
Papa wa katoliki
ama PAPA kiungo pendwa
Kama ni kiungo pendwa nina muda mrefu saana sijaburudika nacho..
Nahisi naanza hata kusahau kinafananaje na naweza nikasahau hata matumizi yake.๐๐คฃ
Nilikuwa naandika pdf refu, nakuja kuona mambo ya mchuzi tena ๐Mimi nikajua kipapa๐๐ฟ๐๐ฟ๐คฃ
Unafanya makusudi ba mkweMa mkwe papa gani..
PAPA WEMBA?
PAPA samaki..
Papa wa katoliki
ama PAPA kiungo pendwa
Kama ni kiungo pendwa nina muda mrefu saana sijaburudika nacho..
Nahisi naanza hata kusahau kinafananaje na naweza nikasahau hata matumizi yake.๐๐คฃ
Hujawahi kuishi pwani.mi nimekula mpaka na wachaga wanakulaSikumbuki kama nimewahi tokea nizaliwe
Ni kweli.waachieni pwaniTuliokulia umasaini Sea food sio vitu vyetu kabisa.
binafsi sijuagi kutofautisha hao wadudu wa baharini, ziwani au mitoni, mie nikiona ina ladha ya kuliwa napeleka motro tu ๐Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe๐
Pili ni chumvi nyingi sana.
Mie asili yangu ni pwani,hiyo ni kitu pendwa kule.wanapenda kavu au na muhogo.mhogo wa nazi au ugali wake wanaita bada.
Na pia kuunga mchuzi lazima bamia na nyanya chungu.
Mara ya mwisho kula papa ni lini?
Jamii yenu inakula?
Ulikula wapi?When I was std 5 ๐
Mnawaza matusi tu humu๐คฃNilikuwa naandika pdf refu, nakuja kuona mambo ya mchuzi tena ๐
HomeUlikula wapi?
๐คฃ๐คฃ๐คฃDah nilikuja mbio sana.
Ngoja nirudi nilipotoka
Why mpaka Leo hujala..au ndo umemaliza form four?Home
Gen z mimi sina nongwa, ni mawazo tu๐๐Mnawaza matusi tu humu๐คฃ
๐๐๐we unakula Ng'onda sio Papa kuna tofauti kati ya papa na Ng'onda kwa watu wa visiwani Zanzibar na pemba tunajua
Kwahiyo hiyo ndio ng'onda?we unakula Ng'onda sio Papa kuna tofauti kati ya papa na Ng'onda kwa watu wa visiwani Zanzibar na pemba tunajua
sjaipendaga tu kiukwel labda sato, kambale, na huyu mdudu๐ท ndo nimezoea !Why mpaka Leo hujala..au ndo umemaliza form four?