Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app

Boomslang sio mmoja kati ya mambas wanne ambao, black mamba, green mamba, Jameson's mamba na Western green mamba. Sema huyu Jameson's mamba kwa muonekano wake amefanana sana na Boomslang kutokana na rangi yao ya ukijani ulichanganyika na strips nyeusi.
 
Mimi nyoka sikai naye, hao panya bora wajazane humo ndani nitakomaa nao kwa namna nyingine. Kuna nyoka wakorofi mkuu, hizi stori za kusimuliana na kufundishana katika taasisi za elimu hazifanani sana na uhalisia.

Kipindi cha vita ya Nduli Idd Amin Dadah kuna familia moja ya jirani ilikuwa imelala usiku kwenye handaki, baba, mama & watoto 11. Black mamba katika pitapita zake akadondokea humo, alitoa dozi moja moja kwa kila mmoja na kuwaua 12. Alipona mmoja tu! Kila nikiyatizama yale makaburi yalivyopangana nasema kwa herufi kubwa,,, SHIKAMOO BLACK MAMBA...

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Aisee inasikitisha sana
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!

Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!

Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

870ae524b1229d42316236ad6d8c9486--snake-venom-perfectly-timed-photos.jpg

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajakusambaratisha!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
Ila huyu black mamba noma mwanangu
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!

Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!

Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

870ae524b1229d42316236ad6d8c9486--snake-venom-perfectly-timed-photos.jpg

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
Kwetu wapo wengi sana tunawaita nondo, huyo nyoka ni mwehu. Kijijini kwetu amewahi kuwauma watu wawili, mmoja alipona lakini wa pili alikufa. Wazee huwa wanasimilia wanasema ipo dawa na kiafrika. Hiyo dawa aliyeumwa anabebwa mabegani, aliyembeba aliyeumwa ndiye anae kuny hiyo dawa, lakini aliye umwa ndiye anatatapikaa na hatimaye kupona.

Kuna nyoka huwa anahusishwa na imani za kishirikina anakaaga kwenye miti kwenye viota anatanda nyuzi kama buibui. Naomba mwenye picha yake aiweke hapa maana makibila mengi duniani huwa wanamsaka kwa imani za kishirikina.
 
Hapana, labda nimekosea jina lakini unawajua wale nyoka wa rangi ya kijani wanaopenda sana kuwa juu ya miti e.g. miembe, mikuyu, mibuyu nk.(Ila kama unaishi mjini ni shida kuwajua) Niambie wanaitwaje. Sio kweli kwamba kila ukiumwa na nyoka utakufa. Mie nipo na nilipewa dawa za mitishamba na kupona kabisa.
Sumu yake inashambulia mishipa ya fahamu i.e ni neurotoxin na kwa hiyo madhara yake ni unaparalyse na kushindwa kupumua.

Hao wa kijani nahisi sio hatari.Kule Bukoba wapo wengi wanaitwa "Enjoka ya'Rubabi" kwa sababu ya rangi yake ya Jani la mgomba.
 
But mimi huyu nyoka namjua vizuri sana na pia nishakumbana nae sana tu,yaani huwa simuogopi kiviile.
Ninavyojua huyu nyoka ukimkanyaga mkiani ndo anakupa mambo,ila ukimkanyaga maeneo mengine ya kati kama mgongoni wala hanaga shida,tatizo lipo mkiani zaidi!
 
Back
Top Bottom