Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,187
Bro. Wewe Hukuonja hata kidogo? Sema ukweli usiogope.Umenikumbusha nilipokuwa advance kuna classmate alikuwa anawala sana hawa wadudu....hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro. Wewe Hukuonja hata kidogo? Sema ukweli usiogope.Umenikumbusha nilipokuwa advance kuna classmate alikuwa anawala sana hawa wadudu....hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu,ukimuona paali yoyote mkimbie ukiweza muulie mbaali tu..Sasa kiumbe asiyejua bahati mbaya hafai, mbaya zaidi hana shambulizi la kutoa onto, ni kumaliza kazi kwa sumu
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...Mkuu Fernando; hata mm nilikuwa na mawazo kama hayo esp. baada ya kuumwa na nyoka wale wenye rangi ya kijani na wanapenda sana kukaa juu ya miti - green mamba almaarufu kama boomslag. Lakini baada ya kuujua ukweli kuhusu viumbe hawa sina tatizo nao yaani chuki kali kihivyo.Ninajitahidi kuwaepuka lakini sio kila nyoka nimwonaye kazi ni moja tu KUUA. Kumbuka hata nyuki wanaleta shida, Nge wanaleta shida, Manyigu wanaleta shida ...ni shida kwani wana sumu. Basi bro.legeza vigezo na masharti - Usiwaue nyoka bila sababu ya msingi.
Sikuwahi kuonja sema nilikuwa namtamani tuBro. Wewe Hukuonja hata kidogo? Sema ukweli usiogope.
Ungeonja usingekaa uache. Mie nilionja kwa Wachina/Wakorea waliokuwa wanajenga barabara ya kwenda Ludewa pale Mlangali. Aisee, ni kama samaki aitwaye sato.Sikuwahi kuonja sema nilikuwa namtamani tu
Wakati siye tukipiga ugali beans yeye alikuwa anasindikizia na kitoweo cha nyoka kilichochomwa vzr na chumvi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi msimamo ni ule ule mkuu, simwogopi kupambana naye hivyo sitamkimbia, namponda kichwa tu. Labda black mamba ndo sijawahi kuzichapa naye, na nasikia ni moto kweli kweli... Huyo naweza kumkimbia aisee.Hakika mkuu,ukimuona paali yoyote mkimbie ukiweza muulie mbaali tu..
post using my macbook air using jamiiforums app
Aisee! Sumu yake naskia ni dk.3 nyingi umepoteza maisha....Mimi msimamo ni ule ule mkuu, simwogopi kupambana naye hivyo sitamkimbia, namponda kichwa tu. Labda black mamba ndo sijawahi kuzichapa naye, na nasikia ni moto kweli kweli... Huyo naweza kumkimbia aisee.
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Hapana, labda nimekosea jina lakini unawajua wale nyoka wa rangi ya kijani wanaopenda sana kuwa juu ya miti e.g. miembe, mikuyu, mibuyu nk.(Ila kama unaishi mjini ni shida kuwajua) Niambie wanaitwaje. Sio kweli kwamba kila ukiumwa na nyoka utakufa. Mie nipo na nilipewa dawa za mitishamba na kupona kabisa.Sidhani kama boomslang ni green mamba... Angekugonga green mamba uwezekano wa wewe kuwa hapa unaenjoy jf ungekuwa mdogo sana,,,,, most probably parapanda ingeshalia kitambo...
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Sumu yake inaharibu au tuseme inashambulia damu(Haemotoxin).Hivyo usambaaji wake mwilini ni haraka mno hasa pale muathirika anapopanic, kukimbia au kama ana matatizo ya presha n.k. kwani yote hayo hufanya moyo uende mbio na usukume damu (pamoja na sumu) haraka maeneo yote mwilini.Kitendo hicho kinasaidia au kinawezesha na kuchangia sana kusambaza sumu mwilini. Hiyo ndiyo sababu watu wanasema ni dk.3.Lakini endapo utakuwa mtulivu na kuacha papara ukafunga kwa kamba au kitambaa upande wa juu ya sehemu iliyong'atwa yaani kuelekea kwenye moyo ukasafisha eneo lililong'atwa kwa maji mengi au kama hakuna maji waweza kwa dharura kutumia hata mkojo wako au wa mtu mwingine kusafisha kidonda hicho utafika hospitali na kupata matibabu stahiki. Zingatia Huduma ya kwanza badala ya kuhangaika hovyo na kuona au kuamini kwamba umeshakufa.Aisee! Sumu yake naskia ni dk.3 nyingi umepoteza maisha....
post using my macbook air using jamiiforums app
Nikweli kabisa au unamshika mzima unamweka ili akung'ate kibamia akishakung'ata tu kibamia kinaanza kukua ndani ya masaa matatu tu
mbavu zangu jamani!!!


Hakufa yupo fresh tuAlikufa..?
post using my macbook air using jamiiforums app
Mkuu nilichoandika kipo sahihi wewe elewa hivyo hivyo cha kukusaidia tu pale RTS 841KJ kpnd hicho ilikuwa inafanyka course za awali za TPDFUlipokuwa unatoroka kutoka wapi mkuu? Kama ni JKT rekebisha basi.
Imagine unaua nyoka wote duniani nini madhara yake?