Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

But mimi huyu nyoka namjua vizuri sana na pia nishakumbana nae sana tu,yaani huwa simuogopi kiviile.
Ninavyojua huyu nyoka ukimkanyaga mkiani ndo anakupa mambo,ila ukimkanyaga maeneo mengine ya kati kama mgongoni wala hanaga shida,tatizo lipo mkiani zaidi!
Mkuu; ulishajaribu kufanya test na ku-verify kwamba ukimkanyaga maeneo ya kati hanaga shida na halafu ukabadili na kumkanyaga mkiani na ukajiridhisha pasipo shaka kwamba eneo hatari ni mkiani tu?
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!

Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!

Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

870ae524b1229d42316236ad6d8c9486--snake-venom-perfectly-timed-photos.jpg

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
Hatari haya madude nayaelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
kwahiyo ulichamba mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!

Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!

Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

870ae524b1229d42316236ad6d8c9486--snake-venom-perfectly-timed-photos.jpg

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
Anaitwa koboko huyo, story zake ni za kutisha tu siku zote

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Weekend ntaiandika mkuu. Varangati la kiumbe huyu kijiji kizima walistaajabu
Hahah hatari kweli! napenda stori za viumbe wababe kama hao, usisahau kuileta mkuu

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ana urefu kwa mita moja na kilo sita ...okay

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
Acheni utani jaman kuna huyu mdudu anaitwa blackmamba, jina lake la kiswahili nimelisahau!!

Huyu ndiye the deadliest snake!! Japo ukikutana nae kabla hajakupeleka kwa kuzimu kwanza anakupa warning kwamba ondoka kwenye anga zake, ukijidai unajua kuua nyoka imekula kwako!!!

Ana speed sana, na akianza kukukimbiza usizani utapiga hatua 5 kabla hajaku sambaratisha!!

Yaani hatari yake ni kubwa kuliko ya ccm!!

Omba usikutane nae maana hutavusha dakika 15 kabla hujafa!!

870ae524b1229d42316236ad6d8c9486--snake-venom-perfectly-timed-photos.jpg

snake-2.jpg

snake-featured-2.jpg

c8b4debf20c831f3ceb5373af243d7e3--zoo-animals-nature-animals.jpg

fe076c5a2f8c3864058e49d7fb9f7cc7.jpg
mkuu utakuwa humjui "the inland taipan"bulaki mamba akikung'ata huenda ukapona ila huyu Taipan ni habari nyingine
 
Na anauwezo wa kujiinua/kusimama sasa ukijichanganya unaondolewa duniani kwa lazima!!
kuna wakati tumemshuhudia huyu kiumbe akipanda kwenye mti wa chungwa.anajinyanyua tu wala hakwei kwenye shina,anajinyanyua na kuzama kwenye matawi huko juu.
 
Back
Top Bottom