Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

mkuu utakuwa humjui "the inland taipan"bulaki mamba akikung'ata huenda ukapona ila huyu Taipan ni habari nyingine
naona ni common sana huko australia. Pia wanafanana tabia na black mamba, aani kabla haja ku-attack anakupa warning!! ni kweli nyoka htari sana...
 
IMG_20170828_205147_260.jpg
huyu ndiye the INLAND TAIPAN.ndiye nyoka mwenye sumu hatari zaidi duniani
 
naona ni common sana huko australia. Pia wanafanana tabia na black mamba, aani kabla haja ku-attack anakupa warning!! ni kweli nyoka htari sana...
wana kanuni zao hawa viumbe.lazima kwanza akupe warning ukijitia kujua ndipo utakapojutia siku ya kuzaliwa.ila kuna mmoja anapatikana sana afrika kusini,huyo ni tisho kubwa.ana sumu kali sana tena ameweka mipaka kwenye mazingira yake(territory).usipoingia kule hana tatizo kabisa ila jikosee kidogo utie mguu kule.nyoka wengi huwa anakung'ata mara moja tu ila huyu anakuandama huku akikung'ata continuously hadi utakapo ondoka kwenye mipaka yake.hakujawahi kutokea kisa cha mtu yeyote aliyenusurika kutokana na sumu yake huyu kiumbe.
 
Jina lake tafadhali kama unalikumbuka...
 
Nlienda kikazi kwenye project moja huko tabora mwaka 2000 basi nikawa nmefikia guest house moja hivi huko kijijini. Pale kijijini nlikuwa nmekaa kama week tatu hivi nikawa nafanya kazi na mwenyekiti wa kijiji kuna issues ilibidi atupe msaada maana tulikuwa hiyo project wazungu wamekuja wanashirikiana na serikali.

Basi ile kwenda kwenda kwa mwenyekiti wa kijiji nlimwona ana bint mzuri sana kama mwarabu mswahili yupo form 3. Nikawa kila mara natafuta nafasi nizoze naye nakosa. Ila nikagundua jion mara nying tukiwa tuna summarize kazi flan pale kwa baba yake huwa anaaga kuwa anaenda kuchota maji na wenzie. Ikabidi nianze fanya utafiti anachota maji wap.

Siku moja nikaenda shule nikijifanya naongea na mkuu wa shule na baadaye nikamwambia nahitaj kupita madarasan niwaone wanafunzi.akanipitisha madarasan nikamwona yule bint. Basi nikamwita yeye na mwenzie mmoja waje wanibebee makabrasha yangu. Alipokuja kwenye gari nikamtuma mwenzie akaniletee mapera nikale home. Yeye bint nikamuimbisha nikamwachia 5000. Akanambia jion nimfuate sehem flan.

Nikaenda .tukawa tunakutana hapo siku nikamwomba game akakubali ila akasema hawez enda guest so ikabidi tutafute kichaka nikamweka sawa nikawa namkamua...nikafikia hatua nmemgeuza ameinama namkamua yeye ameegemea mti.basi ile na pump nacheck mazingira nikamwona nyoka mtini mnene hiv anatucheck tu...aiseee nlichomoa mashine nikamvuta yule bint....mi kukimbia nikaanguka sabab surual ilikuwa miguuni. Yule bint alicheka mpaka akakaa chini maana nlianguka chali huku napiga kelele akanifuata akaniziba mdomo.

Alichokuwa anacheka ni kuwa nmekimbia na kuanguka chal huku mashine bado imesimama tu.akaja kuikalia nikamaliza. Toka siku hiyo nikawa sina hamu kabisa vichakani.akawa ananitania eti nina nyoka na ninaogopa nyoka...wao wamewazoea la hawaogop hivyo.
 
20728272_1633273516691515_4234449724010579912_n.jpg

Basi leo ngoja nikueleze habari ya kifurahisha kuhusu nyoka huyu, kwanza ni miongoni mwa viumbe ambao wamesaidia lugha ya kiswahili kukua, kwa waliosoma kiswahili wanaweza kufahamu vyema kuwa miongoni mwa mambo ambayo husaidia kukua kwa lugha ni pamoja na lugha kukopa maneno, misimu pia kufananisha umbo la kitu na maneno, ikiwa pamoja na mambo mengine mengi, Basi nyoka kifutu amefananishwa umbo lake na jina alilopewa, ukimuona kichwani ni mwembamba na mkia mwembamba lakini mwili wa kati ni kibonge mbaya.

Nyoka huyu hatagi bali anazaa ! Sasa usitoe macho, kama ulikuwa hujui nakufahamisha hivi nyoka katika masuala ya uzazi wamegawanyika katika makundi matatu, kundi la kwanza hutaga, kundi la pili huzaa na kundi la tatu huwa wanataga na kuzaa (hapa ndio utashangaa yaani anataga na akitotoa akabaini watoto bado dhaifu basi atawameza na kuwazaa hapo baadaye, au akiwa na mayai akabaini kwamba mazingira hayo si rafiki atameza mayai na kuzaa baadaye).

Turudi kwa kifutu wetu yeye huzaa watoto 20 na kuendelea huko, na watoto huendelea na maisha yao punde tuu baada ya kuzaliwa, Chakula kikuu cha mnyama huyu ni pamoja na wadudu, panya, mayai ya ndege, wanyama wadodo wadogo kama sungura nk, hapa hutegemea sana na umri, wapo katika makundi mawili moja wale ambao hujitokeza sehemu ambazo binadamu hufanya shughuli zake kama shambani nk. hawa huwa na sumu lakini si kali sana, ila waishio polini akikuuma una hatari ya kufa mapema sana na nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka ambao wapo katika kundi la nyoka walioua sana binadamu.

Ana meno mawili juu na makali sana yaliyochongoka kama ambayo huonekana kwa simba au chui, na meno ya chini ni madogo na hujipanga kwa wingi sana lakini hayazidi kumi.

SIFA ZAKE

1. Bingwa sana wa kujificha, watu wengi humkanyaga kwakuwa ni ngumu kumuona kwa urahisi.

2. Si mkorofi pamoja na ukatili alionao, lakini akiona binadamu humkimbia, pamoja kwamba atakukimbia lakini atarudi mara kwa mara kuangalia je umeondoka ! Lengo likiwa ni kuendelea na shughuli zake, hivyo akikupa heshima na wewe uwe mstarabu kumpisha.

3. Akikuona sura yake huitengeneza kama anatabasamu, sasa sio anataka kukuchekea anaweka meno sawa.

4. Ana aibu pia.

5.anapowinda akiwa penye ardhi laini hujifukia, sasa kanyaga.

6. Ana urefu wa mita moja na kilo sita au zaidi.

7. Akikuuma utapatwa na yafuatayo, kutwoka sana na jasho, kutapika na kuishiwa nguvu.

Je umeshawahi kujua nyoka huyu akikuuma unatakiwa ufanye nini ?
 
Huyu nyoka nishawahi kumkanyaga bila kumuona, nilivyomuona niliruka alafu nikamuacha apite tu, ila angekua swila ningemuua, kifutu ni nyoka ambao wako peace sana tofauti na wengine ambao nimewahi washuhudia

Sent using unknown device
 
Sawa twashukuru lkn yule anaeitwa kiboko au black mamba aisee ni nyoko yule kwasababu kabla hajaanza timbwili anakuonya kwanza
Story hii niliikuta humu Na ilinisaidia baada ya kukutana nae yule nyoka hafai nilimpiga akajifanya kafa nilimsogelea na kijiti lkn nkaona ngoja nimshtue na jiwe kwanza aisee alinyanyuka na kuligonga jiwe Mara tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20728272_1633273516691515_4234449724010579912_n.jpg

Basi leo ngoja nikueleze habari ya kifurahisha kuhusu nyoka huyu, kwanza ni miongoni mwa viumbe ambao wamesaidia lugha ya kiswahili kukua, kwa waliosoma kiswahili wanaweza kufahamu vyema kuwa miongoni mwa mambo ambayo husaidia kukua kwa lugha ni pamoja na lugha kukopa maneno, misimu pia kufananisha umbo la kitu na maneno, ikiwa pamoja na mambo mengine mengi, Basi nyoka kifutu amefananishwa umbo lake na jina alilopewa, ukimuona kichwani ni mwembamba na mkia mwembamba lakini mwili wa kati ni kibonge mbaya.

Nyoka huyu hatagi bali anazaa ! Sasa usitoe macho, kama ulikuwa hujui nakufahamisha hivi nyoka katika masuala ya uzazi wamegawanyika katika makundi matatu, kundi la kwanza hutaga, kundi la pili huzaa na kundi la tatu huwa wanataga na kuzaa (hapa ndio utashangaa yaani anataga na akitotoa akabaini watoto bado dhaifu basi atawameza na kuwazaa hapo baadaye, au akiwa na mayai akabaini kwamba mazingira hayo si rafiki atameza mayai na kuzaa baadaye).

Turudi kwa kifutu wetu yeye huzaa watoto 20 na kuendelea huko, na watoto huendelea na maisha yao punde tuu baada ya kuzaliwa, Chakula kikuu cha mnyama huyu ni pamoja na wadudu, panya, mayai ya ndege, wanyama wadodo wadogo kama sungura nk, hapa hutegemea sana na umri, wapo katika makundi mawili moja wale ambao hujitokeza sehemu ambazo binadamu hufanya shughuli zake kama shambani nk. hawa huwa na sumu lakini si kali sana, ila waishio polini akikuuma una hatari ya kufa mapema sana na nyoka huyu ni miongoni mwa nyoka ambao wapo katika kundi la nyoka walioua sana binadamu.

Ana meno mawili juu na makali sana yaliyochongoka kama ambayo huonekana kwa simba au chui, na meno ya chini ni madogo na hujipanga kwa wingi sana lakini hayazidi kumi.

SIFA ZAKE

1. Bingwa sana wa kujificha, watu wengi humkanyaga kwakuwa ni ngumu kumuona kwa urahisi.

2. Si mkorofi pamoja na ukatili alionao, lakini akiona binadamu humkimbia, pamoja kwamba atakukimbia lakini atarudi mara kwa mara kuangalia je umeondoka ! Lengo likiwa ni kuendelea na shughuli zake, hivyo akikupa heshima na wewe uwe mstarabu kumpisha.

3. Akikuona sura yake huitengeneza kama anatabasamu, sasa sio anataka kukuchekea anaweka meno sawa.

4. Ana aibu pia.

5.anapowinda akiwa penye ardhi laini hujifukia, sasa kanyaga.

6. Ana urefu wa mita moja na kilo sita au zaidi.

7. Akikuuma utapatwa na yafuatayo, kutwoka sana na jasho, kutapika na kuishiwa nguvu.

Je umeshawahi kujua nyoka huyu akikuuma unatakiwa ufanye nini ?
Anawameza watoto ili awazae baadaye??!! Anawameza wanakwenda tumboni, wanaingiaje kwenye njia ya uzazi ili wazaliwe? Biology yako ina walakini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom